Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafikiri dunia ya leo unaweza danganya mtu? Maybe mibongolala wenzako


Hii link uliyoweka inasema kwamba Uganda na Kenya zimeomba mkopo wa kujenga SGR zao toka China, Tanzania toka Uturuki
1)Je Uganda ilipata hiyo pesa?
2)Tanzania ilipata hiyo pesa?

Tunaomba ushahidi
 
Askari wa kenya

kenya-police_3253968b_0.jpg
Kenya police uniform are very UGLY but better than tanzania police 😂
Screenshot_20230201-083023.png
images (7).jpeg
images (8).jpeg


Warathese
images (4).jpeg
images (5).jpeg
 
Zikitumwa picha za shenzhen huku alafu unakuja kutuma picha za Nairobi ama dar nabaki nikicheka tu apa...sisi tuko dunia ya wapi kwan

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ni kama baada ya kula nanasi halafu unywe maji 🤣🤣.. hizi maneno sijui ultra modern facity, sijui world class what not.. me naona tuachane nazo tu 🤣🤣.. Africa tuko na safari ndefu sana asee
 
Hii link uliyoweka inasema kwamba Uganda na Kenya zimeomba mkopo wa kujenga SGR zao toka Kenya, Tanzania toka Uturuki
1)Je Uganda ilipata hiyo pesa?
2)Tanzania ilipata hiyo pesa?

Tunaomba ushahidi
Mibongolala kwa kukana mambo hamjambo! Yani unakataa kwamba Turkey didn't give your government a loan to finance your sgr while there are thousands of news on the internet about that deal? Kudeal na mtanganyika ni kazi kweli!
 
Back
Top Bottom