Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh!! mzee unaakili kweli? London ilikuwa miaka ya 70s. Achana na mawazo ya kikoloni mzee
Ndio maana nawaambia hamjielewi. The best cities in the world look like this.

zurich-view.jpg
1000x563_cmsv2_a235329b-754b-571a-ac10-b4cd624cc798-7198940.jpg
 
Shida humu Ndani kuna watu ni shortsighted mno,Huwezi kupingana na Data hata siku1...
Alietangulia katangulia tu
Hakuna city hata moja ya China inayoshinda Tokyo sio kwa Gdp sio kwa gdp per capita sio kwa Quality of life sio kwa chochote lakini kuna watu wanadhani skyscrapers ziko China tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Duh!! leo ni leo.
 
Dude, Tokyo is faaaaar ahead of Shenzen. There are only 2 cities in this world that can compare to Tokyo - London and New York. Some of you no nothing about what makes a city great.
🤣🤣🤣🚮 Wewe ni famba.. Shenzhen is a cyberpunk city..no comparison to those western cities.. Shenzhen ni peponi (heaven) ndogo.. check out hi subway line yao kwanza 👇. New York subway line so far 👇. US ni takataka 🚮 kwa china bobu
 
Tokyo iko nyuma sana kwa shanzen tatizo sisi tushazoea maisha ya kukariri mtu anazungumzia 1960 wakat leo tuko 2022 na dunia ishabadilila kabisa 🤣🤣🤣

The greatness of a city is not based on shiny skyscrapers. It is based on the following in no particular order.................
1. Living standards
2. Availability of quality jobs
3. Availability of good education facilities
4. Quality of transport infrastructure
5. Safety
6. Cleanliness and low levels of pollution
7. Quality of healthcare
8. Access to clean water
9. Access to quality entertainment facilitiese etc.

Wengine wenu mmezoea hizi ligi za kipuuzi halafu mnajiona wajuaji. Ukiambia mtu anayejielewa kwamba Shenzen ni bora kuliko Tokyo atakucheka sana. Hapo China labda tuongelee Hong Kong.
 
Shida humu Ndani kuna watu ni shortsighted mno,Huwezi kupingana na Data hata siku1...
Alietangulia katangulia tu
Hakuna city hata moja ya China inayoshinda Tokyo sio kwa Gdp sio kwa gdp per capita sio kwa Quality of life sio kwa chochote lakini kuna watu wanadhani skyscrapers ziko China tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hebu tuanze kwa mawazo ya watu waliomo kwenye mitandao kwanza kabla hatujaenda details

1675188072097.png
 
The greatness of a city is not based on shiny skyscrapers. It is based on the following in no particular order.................
1. Living standards
2. Availability of quality jobs
3. Availability of good education facilities
4. Quality of transport infrastructure
5. Safety
6. Cleanliness and low levels of pollution
7. Quality of healthcare
8. Access to clean water
9. Access to quality entertainment facilitiese etc.

Wengine wenu mmezoea hizi ligi za kipuuzi halafu mnajiona wajuaji. Ukiambia mtu anayejielewa kwamba Shenzen ni bora kuliko Tokyo atakucheka sana. Hapo China labda tuongelee Hong Kong.
Kuanzia point number tatu hadi point ya mwisho. China is ahead of US for at least 10-20 years..
 
Duh!! nimekudharau sana ndugu yangu. Landon haiwezi kupambana na miji ya kisasa. Sasa nakuomba uchague mji wowote wa china nikuonehse.
Mwanzo hapo ni Zurich, sio London. Pili London ni mji wa kisasa tena sana. Miji ya Europe ukiondoa michache kama Frankfurt ina policy ya kupreserve majengo ya zamani ila hayo majengo kwa ndani wameinstall the most modern facilities ndio maana ukiyaangalia kwa juu utaona kama ni ya zamani ila ukiishi huko utaona modernity yenye hujawai ona kwengine. Nyie watu hamna knowledge ya cities kabisa. Hii ligi ya upuzi ya hii thread ndio knowledge yenu ya cities inaishia.
 
The greatness of a city is not based on shiny skyscrapers. It is based on the following in no particular order.................
1. Living standards
2. Availability of quality jobs
3. Availability of good education facilities
4. Quality of transport infrastructure
5. Safety
6. Cleanliness and low levels of pollution
7. Quality of healthcare
8. Access to clean water
9. Access to quality entertainment facilitiese etc.

Wengine wenu mmezoea hizi ligi za kipuuzi halafu mnajiona wajuaji. Ukiambia mtu anayejielewa kwamba Shenzen ni bora kuliko Tokyo atakucheka sana. Hapo China labda tuongelee Hong Kong.
Nani alikwambia hvo havipo china tena kwa standards ya juu?? 😆😆😆 kwann munakariri maisha hvi nyie munaichukuliaje china ya 2023
 
The greatness of a city is not based on shiny skyscrapers. It is based on the following in no particular order.................
1. Living standards
2. Availability of quality jobs
3. Availability of good education facilities
4. Quality of transport infrastructure
5. Safety
6. Cleanliness and low levels of pollution
7. Quality of healthcare
8. Access to clean water
9. Access to quality entertainment facilitiese etc.

Wengine wenu mmezoea hizi ligi za kipuuzi halafu mnajiona wajuaji. Ukiambia mtu anayejielewa kwamba Shenzen ni bora kuliko Tokyo atakucheka sana. Hapo China labda tuongelee Hong Kong.
Mzee tembea uone. Ninakuona we jamaa akili zako bado ni za kijima.
1. Shenzhen ndio city ya kwanza dunia kuzuia matumizi ya fossil fuel kwenye public transport zote.
Niambie mji mwingine ambao umezuia matumizi ya mafuta hapa duniani.

Halafu Shenzhen ni mji wa 10+ kwa development huko china.
Unaongea Quality of life. Nakucheka sana. Western media zimeharibu ubongo wako.
 
Mwanzo hapo ni Zurich, sio London. Pili London ni mji wa kisasa tena sana. Miji ya Europe ukiondoa michache kama Frankfurt ina policy ya kupreserve majengo ya zamani ila hayo majengo kwa ndani wameinstall the most modern facilities ndio maana ukiyaangalia kwa juu utaona kama ni ya zamani ila ukiishi huko utaona modernity yenye hujawai ona kwengine. Nyie watu hamna knowledge ya cities kabisa. Hii ligi ya upuzi ya hii thread ndio knowledge yenu ya cities inaishia.
Hakuna mji wowote wa Europe unaweza kushindana na Shenzhen. Halafu Shenzhen ni mji kama wa 10+ huko china. Nimekuambia hakuna. Chagua mji wowote wa China tukuoneshe. Uzuri kila kitu kipo kwenye public.
 
Mzee tembea uone. Ninakuona we jamaa akili zako bado ni za kijima.
1. Shenzhen ndio city ya kwanza dunia kuzuia matumizi ya fossil fuel kwenye public transport zote.
Niambie mji mwingine ambao umezuia matumizi ya mafuta hapa duniani.

Halafu Shenzhen ni mji wa 10+ kwa development huko china.
Unaongea Quality of life. Nakucheka sana. Western media zimeharibu ubongo wako.
Sina mda na hii ligi ya ujinga. Amini utakavyo ila chukua time pia unapoangalia video za Shenzen, angalia na za Tokyo pia. Adios muchachos.
 
Back
Top Bottom