Ukipata chance ya kuishi Tokyo,ama Shanghai usijejidanganya kwenda China, kwanza huwezi pata kibali cha kufanya kazi kule ukienda kama mwanafunzi...unless umhonge askari na bado ukikamatwa watakuruka....unlike ukienda Tokyo unasoma na utapata masaa ya kufanya kazi na utapata pay safi tu...mfano wale wanaosoma masters hupata masaa mengi zaidi kwa wiki ya kufanya part time jobs hela ambayo inaweza kukusaidia kuishi huko vizuri
Hivyo hivyo kwa nchi za ulaya na America zile ni nchi za fursa ni wewe tu kuchangamka na kujiongeza...Sasa nenda China utarudi hapa na elimu hautakua na hata Mia mbovu
Sent from my SM-A035F using
JamiiForums mobile app