Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zikitumwa picha za shenzhen huku alafu unakuja kutuma picha za Nairobi ama dar nabaki nikicheka tu apa...sisi tuko dunia ya wapi kwan

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Ukishapitapia miji ya watu wenye akili huko duniani unatakiwa ujipe pause kidogo, kaa hata siku tatu au nne hivi akili yako irejee ulimwengu wa tatu kisha uanze tena kutuma picha za nairobi na dar humu
 
DXLW2zPUMAEIh3r
Dah hizi gari hapo za miaka gani vile?
 
Ukipata official source tanzania imekopa pesa uturuki au mturuki kaweka pesa yake kwenye SGR nitag plz nifunge acc 🤣🤣🤣 munapata presha bure kabisa
Official source ndio kama gani bongolala? This deal was signed when Turkish president visited your country
images - 2023-02-01T105718.925.jpeg
images - 2023-02-01T105747.577.jpeg
images - 2023-02-01T105821.502.jpeg
images - 2023-02-01T105804.333.jpeg
 
Unaona sasa ulivokua chizi so rais wa turkey akija tanzania maana yake katoa pesa za SGR tanzania kaaah hvi shuleni munasoma kitu gani nyinyi

Yani nilijua walau umesoma kidogo hata unajielewa bro kumbe unaakili za kuvukia barabara tu
Kwahiyo hata Raisi wa Egypt alivyokuja Tanzania alitoa hela za kujenga JNHPP mawazo ya Wakenya ni ya ajabu sana.
 
Traffic Muranga road, Kenya
ChjCb2-UoAAUc87
Sio sifa hata...ni moja ya indicator ya umaskini...


Mngekuwa na public transport nzr kama BRT, trams nk...na mkapunguza baadhi ya office na huduma muhimu kutoka CBD..msingepata traffic za namna hii...


Lakin sasa mtafanyaje...hela mlikopa sana mafisadi wakaila mkajenga miradi ya kujisifia mbele ya nchi nyingine badala ya kusolve matatizo ya nchi yenu..


I feel sorry for you
 
Sio sifa hata...ni moja ya indicator ya umaskini...


Mngekuwa na public transport nzr kama BRT, trams nk...na mkapunguza baadhi ya office na huduma muhimu kutoka CBD..msingepata traffic za namna hii...


Lakin sasa mtafanyaje...hela mlikopa sana mafisadi wakaila mkajenga miradi ya kujisifia mbele ya nchi nyingine badala ya kusolve matatizo ya nchi yenu..


I feel sorry for you
Na kaweka hii picha kutaka kuonyesha sifa wana magari mengi au lane nyingi, kumbe uchafu na ubackward 😂
hivyo vipanya vinne vingekua repalced na Bus Moja, hivyo kupunguza idadi ya magari barabarani, wakumbuke hata kama haya magari ni zero emision, A traffic jam is still a traffic jam 🤣
 
Unaweza kukataa kwa utaratibu lkn sio kwa namna ya kuonyesha unakataa teuzi/wito wa Rais hasa kwa umma wote kujua umekataa.
Hapo kukataa kwao kwa utaratibu ungesikia 'Rais katengua uteuzi wa flan na flan'. Hata juzijuzi exboss wa TISS alikataa post mpya ndo mana ukasikia uteuzi wake umetenguliwa
Kama kweli Rais mwenye akili zake timamu asiye mpumbavu anawezaje kuteua viongozi kiolela bila hata wao wenyewe wanao teuliwa kuwa na utashi wa kuongoza ...sifa moja ya muajili mwenye akili timamu ni kutafuta wafanyakazi wenye kuweza kazi na wenye kupenda hizo kazi unazo waitia kuzifanya ....ni upumbavu ulio tukuka kuteua mtu kwa namna hii yani mimi nimeshangaa sana sikutegemea upumbavu wa hii serikali umefikia kiwango cha juu kiasi hiki ....kiongozi unatakiwa kufanya mambo yote kwa akili
 
Back
Top Bottom