tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Angeenda USA angerudi walau na 5series moja ama ama evoque sio China unarudi na Bag la jeans na mashatiKuna mwanangu nlimaliza nae chuo miaka kadhaa ya nyuma, mimi nikaanza career yeye akaenda China kufanya masters , akarudi baada ya miaka miwili, nikampokea tukakaa magetoni hadi alipopata ramani, yaani jamaa ni kama China ilimvuruga akili, humwambii kitu juu ya China, ni kama hawa wa humu
Nawaelewa hawa jamaa. Hawafanyi tafiti vizuri
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

