Kajifunze kiswahili kwanza ndio urudi hapa unijibu. Huoni ni tense gani imetumika hapo ama?ananinyima usingizi akioza? ona huyu
Kajifunze kiswahili kwanza ndio urudi hapa unijibu. Huoni ni tense gani imetumika hapo ama?ananinyima usingizi akioza? ona huyu
Suicide rate in Japan (hold my beer).Mjapani mmoja anamaisha mazuri kuliko wachina 3
That news is all over the interet wewe bongolala. Haja gani kukana kila kitu hata yale yako wazi. Your sgr was not only funded by the Turks, your government received a further $1.46b from Standard Chartered bank na hiyo taarifa ndio hii hapaHapa ndo walikuwa wana sign loan?
Picha za Turkey-Tanzania Business forum ndo evidence za kuchukua hiyo loan!
Sasa unategemea nini kwa watu wenye akili mbovu kama zao. Mtu unakufa njaa lakini unawekeza nguvu kulima maua, chai na mazao mengine ambayo hayana tija katika kutatua tatizo la njaa.Huu ni mwaka wa pili ameshindwa kuleta evidence.
Sasa hapo kwenye kula ndio umeharibu. Watoto wetu hawa waacheni wasome kwanza.![]()
Evidence pleaseMibongolala kwa kukana mambo hamjambo! Yani unakataa kwamba Turkey didn't give your government a loan to finance your sgr while there are thousands of news on the internet about that deal? Kudeal na mtanganyika ni kazi kweli!
Si bora mimi natumia akili kwenye mambo yangu....wew unayo basi hiyo akili?acha kuchosha akili, huna uwezo wa kufikiria

Kama unafikiri China ni sawa na Brazil kwa nini nayo haizungukwi na meli za kivita kama China?China wako vema Sawa, ila levels zao ni kina South Korea, Brazil.
Mchina ni mhindi aliyechangamka.
Ila wanakuwa wameshatoka kwenye ramani halafu wanatuachia sisi tujukuu tulee, yeye unamsomesha na katoto kake pia unakatunza maana baba zao huwa nikukimbia soo kwa kwenda mbeleKaka kusoma kupo tu, huoni hata akipata mimba bado wanarudi kuendelea na shule?






nishakwambia huna uwezo wa kufikiria, kichwa chako ni cha kubeba meno ya kutafuna pekeeSi bora mimi natumia akili kwenye mambo yangu....wew unayo basi hiyo akili?
Wew kweli ulivyo mtu mzima unaweza jisifia traffic jam ya vihiace na vipanya vya miaka 90![]()
Point yangu nasema sio Sifa...huwezi mtu ukajisifia kuwa na traffic jam ya hivyo vihiace mjini?...Wewe bongolala wacha nye nye nye. Traffic jam hupatikana hata New York na London. Hata hapo Dar is slum foleni hupatikana so you are not making any sense at all!
That news is all over the interet wewe bongolala. Haja gani kukana kila kitu hata yale yako wazi. Your sgr was not only funded by the Turks, your government received a further $1.46b from Standard Chartered bank na hiyo taarifa ndio hii hapa
Kataaeni na hiyo piaWe've arranged US$ 1.46 billion of financing for Tanzanian rail project - Standard Chartered
Dar es Salaam, Tanzania. The Government of Tanzania Ministry of Finance has signed a facility agreement with Standard Chartered Tanzania for a US$ 1.46 billion term loan financing to fund the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) project from Dar es Salaam to Makutupora. Running...www.sc.com
blogs.lse.ac.uk
Bora niko hai sio kama magu 🤣Kajifunze kiswahili kwanza ndio urudi hapa unijibu. Huoni ni tense gani imetumika hapo ama? View attachment 2502500
Evidence please



China hakuna cha maana we hujiulizi kwann wachina wenyewe wanapenda kwenda kuishi Europe na AmericaNdio maana mdau kasema mshikaji wake alienda China kusoma masters ila alirudi kama alivyoondoka na kufikia maghetton kwake![]()
Hapa sijaelewa vizuri. Ardhi ya China ina shida kuilima au imepangiwa matumizi mengine nje ya kilimo?Kama unafikiri China ni sawa na Brazil kwa nini nayo haizungukwi na meli za kivita kama China?
Sasa hivi wanajenga space station yao wenyewe, ukiacha Marekani kujaribu kujenga skylab na Urusi kuwa na Salyut na baadae Mir ni nchi gani nyingine iliyowahi kuwa na jeuri hiyo?
Unafahamu kuwa 60% ya China haikaliki, yaani huwezi kulima chakula, lakini kwa hiyo hiyo 40% iliyobaki wameweza kulisha watu 1.4 b. Kama unafikiri ni rahisi kulisha watu wengi kwenye nchi isiyolimika, utakuwa unautani na nyang'au wewe.
Maisha mazr kiaje...wakati ndo Watu wanaoongoza kujiua duniani na wenzao South koreaWe jamaa suala sio city suala ni standard of living...wewe kama unaishi Manzese pale mahali kuchafu unaanzaje kumtambia mtu anaeishi kijijini machame huko kwenye mjumba mkali wenye kila kitu na yuko kijijini?
Sasa angalia Maosha ya mjapani mmoja ni bora kuliko maisha ya wachina watatu kw wastani...
Mjapani mmoja anamaisha mazuri kuliko wachina 3
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Ila wanakuwa wameshatoka kwenye ramani halafu wanatuachia sisi tujukuu tulee, yeye unamsomesha na katoto kake pia unakatunza maana baba zao huwa nikukimbia soo kwa kwenda mbele![]()
Matusi huwa ni sign ya low IQ na akili ndogo....nishakwambia huna uwezo wa kufikiria, kichwa chako ni cha kubeba meno ya kutafuna pekee