Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani huyu jamaa aliwafanyia nini wa bongolala?

View attachment 2467565
It’s more fun akipigwa zaidi akishinda. Fans wake wanaenjoy zaidi akishindwa, so huwa wanamwambia tutakuwa na wewe mpaka wakuue…….πŸ˜…πŸ˜… ila to him it doesn’t make a difference wether you win or loose……yeye anasema ukimpiga ni kama amekupiga na ukimpiga ni kama amekupiga tu. Yaani mfano mzuri ni hii battle, hata mkitupiga ni kama tumewapiga, na tukiwapiga ni tumewapiga tu, yaani hamponi mandonga styleπŸ˜…πŸ˜…
 
hapo mkunya hafahamu, anaangalia wingi tu na si efficiency!
 
Shida kubwa ya Kenya pale mwamzoni walikuwa wanapenda kuimba kwa kiingereza hawakupenda kuimba kwa kiswahili ili ku target local audience mwisho wa siku wakajikuta kiingereza cha ugoko kupenya kwenye masoko makubwa ikawa taabu kuja kurudi kwenye kiswahili it was too late Tz ilishafika mbali na kujijengea ufalme wake hapa EA.
 
Hoyce Temu, Deputy Head of Tanzania mission in Geneva, Switzerland was charged with MISCONDUCT and received disciplinary charges. Her appeal was was officially dismissed by the UNDT.

Ameleta aibu kwenye nchi. This is a huge scandal!

Alidhani UN ni kama ofisi za TZ ambazo hawajali kuhusu integrity? With all the benefits?
 
Bongolala, I am asking you again, do you want me to share poverty reports between these two countries ndio tujueni wapi ndio poverty imepitliza? Hizi longololo zko hazitakusaidia
Poverty haikai kwenye karatasi jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…