Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaaani natamani sana kumjua aliewaweka kwenye bid, ametukosea sana
Yaani tukikosa ku host AFCON 2027 lawama zote wabebeshwe Kenya. Issue iko hivi: Government of Tz na UGx wanatumia hela zao kuweka mazingira ya AFCON sawa ila Kenya serikali haitumii hela yake inategemea Private sector ndio waweke mazingira njia ambayo inachukua muda mrefu wakati project yenyewe ina specific timeframe
 
Original founders wa hii BID ni tanzania and uganda, i really want to know who added bungoma, maana this is embarrassing toka CHAN wao tu kusumbua
 
This why I call you illiterate. You demonstrate it on a daily basis . Forget 1976 , hereby is a 1946 Bomber still in use today . Unfortunately you can’t comprehend what avionics upgrades mean… a bomber or fighter jet is not gauged by the body frame but by its operating systems.
IMG_9941.jpeg
 
View attachment 3681143
These bombers znajulikana and you cant compare them with f5 which were used when soldiers wore shorts
 
Original founders wa hii BID ni tanzania and uganda, i really want to know who added bungoma, maana this is embarrassing toka CHAN wao tu kusumbua
You seriously cannot depend on them for anything, wako kama kinyonga mwanzoni wanakupa good appearance, sweet-talking, lakini later on wanabadilika na hata aibu huwa hawaoni. Tumeona hii tabia kwenye vitu vingi sana: Mombasa Port (Uganda and Rwanda), Kenya Pipeline Limited (Uganda and Rwanda), Government-to-Government Petroleum Deal (Uganda and Rwanda) the list is long. Ukiwa a good neighbour especially with a sea port it is your responsibility to provide stability to your neighbours who depends on you for logistics ila hawa nyangau ni kuwanyonya zaidi ndicho wanachojua halafu wakichukiwa wanasema wanaonewa. The same applies kwa AFCON ukiwasikia wanataka ku host opening and finals wao tuu.
 
Btw its since EAC ilivovunjika mwanzo
 
Back
Top Bottom