Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila humu mkuu kuna wababe wa miji aisee hadi chocho za Washington wanazijua. Acha niendelee kuchunga ngedere shambani kwangu wasinimalizie mahindi yangu mie [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana kwa magari upande wa kushoto hayatakiwi yavuke solid line! Ya upande wa kulia yanayokuja sawa na yamepewa lanes mbili kwasababu ya mlima na kuepusha ajali gari likishindwa kupanda! Watu wengi sharia hawajui! BTW hata ilivyochorwa imechorwa kimapungufu!
😂😂 acha uongo bana umekosea tu kuhusu lane upande wa kushoto.. lane ya kushoto ni lane moja lkn gari linaruhusiwa kuovertake kulia kama mbele kupo salama.. hio line hapo katikat upande wa kushoto inaitwa hazard warning line (google utaelewa).. kwamba unaweza kuovertake lkn be careful. Na hakuna kilichokosewa kwenye michoro

Mfano mzuri, barabara ya morroco kuna sehem ipo hiv
lines-300.jpg

C1ft6OxW8AEJjJG.jpg
 
Fikeni levels angalau nusu ya Kilimanjaro ndio mtambe, nilishawaonya ninyi ni jangwa hampaswi kujilinganisha na Tanzania kwenye greenery iwe mjini au kijijini

 
[emoji23][emoji23] acha uongo bana umekosea tu kuhusu lane upande wa kushoto.. lane ya kushoto ni lane moja lkn gari linaruhusiwa kuovertake kulia kama mbele kupo salama.. hio line hapo katikat upande wa kushoto inaitwa hazard warning line (google utaelewa).. kwamba unaweza kuovertake lkn be careful. Na hakuna kilichokosewa kwenye michoro

Mfano mzuri, barabara ya morroco kuna sehem ipo hiv
View attachment 2462689
View attachment 2462697
Hata mimi najua maana nimesomea driving kabisa sio dereva wa mchongo...uko sahihi
 
Back
Top Bottom