stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,440
- 38,198
we fala kwel, vp mtu anaetoka ngong anataka kuwahi airport mmeshamuwekea express way yake pia .. 😎😎?Express way yenye bodaboda, madaladala na mabajaj?
Yani ile express way ya Nairobi bongo itafika miaka 100 ijayo kama ambavyo Highway ya Kimara to Kibaha Kenya walishakuwa na Thika highway miaka 20 kabla ya hiyo yenu