Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot (221).png

Screenshot (219).png
Screenshot (220).png

DODOMA SHIKAMOOOOO MARAHABA Tz
 
Kuna kitu inaitwa context, unarukia conversation katikati and you want to control it. Tumia akili ya kuzaliwa.
Whatever the context but you imported a used gari moshi aka fossil guzzler that is obsolete and environmentally non friendly.
 



MY TAKE
Ngosha wamegoma ku-redesign terminal badala yake wanataka iwe supermarket halafu serikali itoe fedha za terminal mpya!

Ila wajue tu, mikoa mingine wanalilia jengo kama hilo na wanaendelea kujichelewesha kimaendeleo!
 
Funga accounts [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

View attachment 2461502
Unajua wewe ni mpumbavu sana, unapenda kuji console na kukataa ukweli na kwa bahati mbaya nyie wakundustan hampo kama sisi Watz hamkosoani kutokana na ujinga wa kuzaliwa mlionao, sasa kampuni ku invest kwenye kampuni nyingine ni jambo la ajabu? Ndio maana nakuita mnuka mavi.
 
Hapo Habari mbili muhimu
1.BRT Phase 4 na 5 of which is good one

2.Ukraine war inavyozingua Tourism , kabla ya hii war Tulikuwa tumeanza kupoeka Tourist wengi sana kutoka Russia na Ukraine na walikuwa wanatembelea sana Zanzibar na badae Nyerere National Park as a triangle tour maana ziko karibu .Tuombee hii war iishe tu
 
Pigo la kufungia mwaka, BRT itaisha soon than expected, itabaki phase 6 tu. Then wanaamia Kigamboni. The plan was by 2030 the whole of Dar iwe connected na BRT but kwa hii speed ya Samia I can see it happens before due date. Jiji litakimbia nawaambia, tuwaache hao wapaka lipstic kwa barabara waendelee kulipa tolly kufika taoo😂😂
 
Back
Top Bottom