Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najivunia hiki hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu we punga ligi ina faida kuliko national team punga wewe, ligi inatengeneza ajira na kutangaza nchi pengine kuliko hata national team.View attachment 2462580
Ligi yetu iko juu sana kifedha, kimalipo zaidi ya Angola, Guinea na Congo.
 
😂😂 acha uongo bana umekosea tu kuhusu lane upande wa kushoto.. lane ya kushoto ni lane moja lkn gari linaruhusiwa kuovertake kulia kama mbele kupo salama.. hio line hapo katikat upande wa kushoto inaitwa hazard warning line (google utaelewa).. kwamba unaweza kuovertake lkn be careful. Na hakuna kilichokosewa kwenye michoro

Mfano mzuri, barabara ya morroco kuna sehem ipo hiv
View attachment 2462689
View attachment 2462697
Naongelea hiyo line solid katikati inayoonekana imefutikafutika ikiwa na dashed line! Mara nyingi inatakiwa iwe line moja either dashed or solid or both solid and dashed!

Na Ikiwa both dashed na solid anayeruhusiwa ku-overtake ni yule wa upande wa dashed!

Mind u for this case the median line ni hiyo solid (though inachanganya mbele ipo dashed) na imeambatana na dashed.

Na suala la overtaking, incoming vehicles wenye lanes mbili ndio wanaruhusiwa na wamepewa lanes mbili kimakusudi na ukiangalia vizuri ni upande wa mwinuko!

Kwa Sheria za kimataifa overtaking inaruhusiwa only on spaced/dashed lines! Na kwa case ya barabara hii incoming slow vehicles n trucks zinapaswa kupita on the outer right lane!

And overtaking is strictly for incoming vehicles in this section! That's how road rules say all over the World!

FYI nimeendesha sehemu nyingi duniani huo mchanganyiko wa solid and dashed kwenye hii picha palipo na basi liki-overtake unachanganya na umekaa kimagumashi maana technically zote ni dashed na najua ninachoongea na my DL allows me to drive every corner of this world!

TANROADS wamejenga super roads across the country na hata wameweka extra lanes kwenye miinuko ila watu wengi hawajui matumizi yake na sheria kiujumla.

BTW huwezi kutolea mfano wa barabara ya Morocco inner city road kwa case hii ya cross-country highway! Please pitia sheria vizuri!

Screenshot_2022-12-29-21-05-33.png

20221229_210313.jpg

20221229_211725.jpg
 
View attachment 2462841

View attachment 2462848

View attachment 2462850
Maelezo yako na hizo lines zilivyo yanaonyesha, wa upande wa kushoto anaweza kuovertake, ambayo ni sahihi (kama ulikuwa hujui, kushoto kuna lines mbili, hazard warning line na solid line).. lkn maneno meeengi, ukubali tu wa kushoto hapo anaruhusiwa kuovertake
 
Ushwahi fika Mozambique or huko maputo, Beira??

Unapost vitu vya ajabu sana humu. Usiokote tu vitu na kupost.
Sio lazima ufike kila mahali ndio maana Kuna internet..

Hiyo picha Ni ya ajabu? Wewe Cha Maana ulicho post Ni kipi?

Unasumbuliwa na nongwa Sana bwana Sukuma gang.

Nakuongezea kitu kingine Cha ajabu ili uchukie zaidi 👇

Maelezo yako na hizo lines zilivyo yanaonyesha, wa upande wa kushoto anaweza kuovertake, ambayo ni sahihi (kama ulikuwa hujui, kushoto kuna lines mbili, hazard warning line na solid line).. lkn maneno meeengi, ukubali tu wa kushoto hapo anaruhusiwa kuovertake
Kushoto kuna lines mbili a mixture of solid n dashed! Na hazijachorwa vizuri! Na tafsiri yake duniani (internationally) ni hii..
twt1.gif

VS

20221229_123259-jpg.2462611

Wewe Unaongelea scenario hii! Ambapo kwa ile barabara dashed line inatakiwa kuwa kushoto na solid kulia ili hilo basi lisiwe limevunja sheria!
lines-on-the-road-meaning-explained-driving-laws-yellow-dashed-solid-both.png

usikurupuke mzee najua ninachoongea!
 
Serengeti road construction project got global attention fueled by you jealous creatures, you're lucky we were governed by a petty regime they declined the deal, mlitakiwa mkutane na chuma kilicholazimisha Nyerere dam despite all that global critics

Wanafiki sana hawa wakuu halafu hawana kumbukumbu na uelewa. Ndio hawa hawa wanapinga Bomba la mafuta ECOP pia. Ila kwao halina shida.
Waliipinga sana hii barabara miaka ile.
 
Back
Top Bottom