Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,791
Hiyo ya juu siyo macropolo! Muundo wa taa tofauti
Hiyo ya juu siyo macropolo! Muundo wa taa tofauti
Nimekuambia nenda ukalie mbali.Leta plant wakifanya kazi.. Kama Icho anavyopost za Dar Coach
Garage unaita Assembly. Nenda kawadanganye wakenya wenzako
Tell that to these Tanzanians buying their buses from Kenya😂😂🤣😂😂Garage unaita Assebly. Nenda kawadanganye wakenya wenzako
Marcopolo S.A. is a Brazilian bus, coach and rail manufacturer, founded on 6 August 1949 in the southern Brazilian city of Caxias do Sul, state of Rio Grande do Sul. The company manufactures the bodies for a whole range of coaches, e.g. microbus, intercity, and touring models.
Kwani unadhani Scania zinakua assembled wapi? Scania pia zinakua assembled huko AVA. Na kama hujui SCANIA hawaundi bodies za buses, kuna makampuni tofauti kama Marcopolo au Gemilang, wote wana assemble bodies zao AVA. AVA wana uwezo wa kuassemble foreign bodies na pia wanafabricate for local units. Kama hujui enda uulize wenzako huko Tanzania Bound Buses, wacha kutusumbua hapa na ordinary questions.Nimekwambia leta plant ya AVA akiwa anatengeneza hizo body za magari.. Simple tu.
Hii ni Scania wamefanya.. Wakawaomba AVA spana mbili Tatu na cheap labor
Wewe ng'ombe onesha mabasi yakitengenezwa Sio kuonesha vilebo lebo hivyo... Hizo chassis hapo si za pick up... Onyesha chassis ya bus ikiundwa from scratch... Video itapendeza zaidi.
Kwani unadhani Scania zinakua assembled wapi? Scania pia zinakua assembled huko AVA. Na kama hujui SCANIA hawaundi bodies za buses, kuna makampuni tofauti kama Marcopolo au Gemilang, wote wana assemble bodies zao AVA. AVA wana uwezo wa kuassemble foreign bodies na pia wanafabricate for local units. Kama hujui enda uulize wenzako huko Tanzania Bound Buses, wacha kutusumbua hapa na ordinary questions.
Kama hizi hapa ni fabricated by AVA.
![]()
Uko na video hapo tuone AVA wakitengenezaa body ya bus?Kwani unadhani Scania zinakua assembled wapi? Scania pia zinakua assembled huko AVA. Na kama hujui SCANIA hawaundi bodies za buses, kuna makampuni tofauti kama Marcopolo au Gemilang, wote wana assemble bodies zao AVA. AVA wana uwezo wa kuassemble foreign bodies na pia wanafabricate for local units. Kama hujui enda uulize wenzako huko Tanzania Bound Buses, wacha kutusumbua hapa na ordinary questions.
Kama hizi hapa ni fabricated by AVA.
![]()
Si uende Mombasa ujionee, uwache kutusumbua hapa na maswali za kipuzi.Uko na video hapo tuone AVA wakitengenezaa body ya bus?
Naona Kwenye ujenzi wa SGR kila baada ya km nyingi kuna minara inayofanana na ile ya simu mkandarasi anajenga pembeni ya reli.
Wewe endelea kutafuta video wakati Tanzanian investors are rushing to Mombasa kununua mabasi.Wewe ng'ombe onesha mabasi yakitengenezwa Sio kuonesha vilebo lebo hivyo... Hizo chassis hapo si za pick up... Onyesha chassis ya bus ikiundwa from scratch... Video itapendeza zaidi.
Pole pole tu kitaeleweka. Another product from Volkswagen Assembled in Kenya.
Volkswagen, abbreviated as VW, is a German motor vehicle manufacturer headquartered in Wolfsburg, Lower Saxony, Germany.Pole pole tu kitaeleweka. Another product from Volkswagen Assembled in Kenya.
![]()
![]()
![]()
Muna assemble lorry moja tu na unapiga kelele hapa malaya. Huna hata aibu.Volkswagen, abbreviated as VW, is a German motor vehicle manufacturer headquartered in Wolfsburg, Lower Saxony, Germany.
Lakini zinazotengenezwa kenya ni hizi hapa chini
View attachment 2456212
Kenya has 13 different body builders. Na bado wanataka kushindana na sisiMuna assemble lorry moja tu na unapiga kelele hapa malaya. Huna hata aibu.