Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JWT.jpg
 
Hata hiyo miaka ya 90 ndio walikua wako ovyo vibaya enzi za moi,aliyekuja kuwatia jeuri na kupata hata cha kusemea ni kibaki
Kila siku uwa nawambia wakenya siku zote uwezi kumkoromea anae kulisha. for now kenya inategemea tz kwa asilimia 10000000000000000000000000000000000000000%
 
Kwa hili Fuso kule KUNDUSTAN linaongezewa Vifaa vya ujenzi Tani nane na rangi lita 3000 [emoji23]. Linaongezewa mazalia ya kunguni na Speaker za Bar, Taa za Uwanja wa Mpira na linakua Bus la abiria huku likieneza kunguni kutoka familia moja mpka nyingine . J/K [emoji23]


IMG_4242.jpg

IMG_4243.jpg
 
Back
Top Bottom