Kuna doted lines upande wa kushoto lakini and straight upande wa kuliaa so yuko sawaBasi linavunja sheria!
Sasa ziko 400 na mm nilishuhudia zikiingia yard tabata mwananchi na zilitoka kibaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Na kila kampuni zinamiliki mbona
Eti meknya hapendi kuona haya 🤣🤣🤣
Ukhekhekhekhekhekehkehekhekehekehekeh umebadili gear angani ushaanza kuchanganyikiwa huamini macho yakoThese were not assembled in Tz 😂😂
Zinakua assembled wapi kenya au?🤣🤣🤣These were not assembled in Tz 😂😂
Jitahidi kuangalia unacho quote kabla ya kutuma ujumbe.Lazima utakuwa ulikuwa unafeli hesabu shuleni SGR TZ train length 2km Kenya SGR 1km, axle load SGR TZ 35 tons per axle Kundustan SGR 25 tons per axle, Speed Tz SGR freight 120kph Kundustan SGR freight 80kph. Siding rail length per comparable distance TZ SGR 3x that of Kundustan
Sasa prove to me how on earth Kundustan SGR can out compete TZ SGR?
Hapana kwa magari upande wa kushoto hayatakiwi yavuke solid line! Ya upande wa kulia yanayokuja sawa na yamepewa lanes mbili kwasababu ya mlima na kuepusha ajali gari likishindwa kupanda! Watu wengi sheria hawajui! BTW hata ilivyochorwa imechorwa kimapungufu!Kuna doted lines upande wa kushoto lakini and straight upande wa kuliaa so yuko sawa
Wakunya niliwapa challenge waleta proof kwamba AVA wanaunda body za Mabasi wakashindwa hadi leo. Wao wanajua kupost Basi lenye Stika ya AVA tu.Wakunya bado watadai mabasi yametoka AVA!
Mturuki wa reli pia kachukua Trucks zaidi ya 100 hapo mwaka Jana.Camel oil kanunua faw kwenye hio assembly plant hapo zaidi ya 400 mwaka jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui unaumia kitu gani hapo View attachment 2462604View attachment 2462605View attachment 2462606View attachment 2462607
Says an idiot who travels using buses assembled at AVA😂😂🤣😂Wakunya niliwapa challenge waleta proof kwamba AVA wanaunda body za Mabasi wakashindwa hadi leo. Wao wanajua kupost Basi lenye Stika ya AVA tu.
AVA wanatengeneza Tuk Tuk na pick up tuii.. Hawajawahi kutengeneza body ya Basi.
Hapana. Check mistariBasi linavunja sheria!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu na miji yenu buana, mnajua kila kona.
Leta plant ya AVA ikifanya assembling ya Bus from scratch.. Kwa picha tu maana huna bundle ya ku upload video.Says an idiot who travels using buses assembled at AVA[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
View attachment 2462656
Ila humu mkuu kuna wababe wa miji aisee hadi chocho za Washington wanazijua. Acha niendelee kuchunga ngedere shambani kwangu wasinimalizie mahindi yangu mie [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Watu na miji yenu buana, mnajua kila kona.
Picha nilikuwekea kitambo lakini ulishindwa kuangalia. Ukizitaka Tena zitafute huko nyuma.Leta plant ya AVA ikifanya assembling ya Bus from scratch.. Kwa picha tu maana huna bundle ya ku upload video.
Au leta web link ikionesha AVA wanaunda body za Mabasi.
Wewe ndio kilaza wa kikunyaa Kwa huu uzi. Kichwa chako kimejaa upepo tuu..Picha nilikuwekea kitambo lakini ulishindwa kuangalia. Ukizitaka Tena zitafute huko nyuma.