Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,170
Kasome tena! Mko wengi wa aina yako Bongo...!!Nadhani tungeacha kuongelea hili jambo. Wengine humu mambo ya barabarani tumeyasomea.
Kasome tena! Mko wengi wa aina yako Bongo...!!Nadhani tungeacha kuongelea hili jambo. Wengine humu mambo ya barabarani tumeyasomea.
Geza msikie ndugu yako
Ukifika border zetu na kundustan utakuta trucks za TZ zaidi ya 100 zinaingia kundustan,halafu ule upande wa kundustan utakuta van zinazoingia TZ azizidi 4 zimebeba cofta,panadol n.kKila siku uwa nawambia wakenya siku zote uwezi kumkoromea anae kulisha. for now kenya inategemea tz kwa asilimia 10000000000000000000000000000000000000000%
I don't like to argue with fools. I don't like to deal with people who walk around with shit
Kwasasa imeshakuwa kawaida kwa Tz kuwa ya kwanza alafu nchi zingine za EA and sometimes Africa zinafuata. Tuko juu sn ni vile hatupendi sifa za kijinga.Only in Tanzania and East Africa? [emoji16]
Usafi ni jadi yetu, pia waambie kabisa hakuna filter hapo, na hali iko hivyo hivyo mpk ndani ndani huko kwenye residential areas. Elimu pia imetusaidia sana Watz, unajua unaweza ukawa na elimu alafu isikusaidie kama Wakenya na raia wa vinchi vingine vya EA raia wengi hawana elimu na wachache wenye elimu haiwasaidii. Unakuta miji michafu matakataka kila kona mfano Kampala na ka Nairobi mauchafu everywhere yn civilization ni zero kabisa katika nchi nyingi za Afrika hususan hizi nchi ambazo raia wake wengi ni mafukara kama Kenya, Burundi na Somalia.

Wakenya wamechoka sana na haya maisha, wanataabika mno, wapo over 50mil lkn wenye angalau hawafiki hata 5% na kwenye hao 5% unakuta 3% ni wanasiasa na familia zao ila majority hali zao ndio kama za hawa tulio nao humu.Kuna Video za hivi karibuni za Siku ya Christmas au Wiki hii za Nairobi kaangalieni [emoji23]Observe magari yao Barabarani , Watu pamoja na mionekano yao. Na mpate conclusion ya Maswali mengi [emoji23].
Hii ni ramli chonganishi tutaibua yasiyoibulika! 😂 😂 😂 😂 😃 😃Kuna Video za hivi karibuni za Siku ya Christmas au Wiki hii za Nairobi kaangalieni [emoji23]Observe magari yao Barabarani , Watu pamoja na mionekano yao. Na mpate conclusion ya Maswali mengi [emoji23].
As Mwaka unaisha na bado tuko kwenye huu uzi wetu pendwa, mimi naomba kwa heshima kabisa nimuombe Mwenyekiti wetu ichoboy01 atoe tuzo kwa wadau kadhaa humu kwa mchango wao katika uzi huu. Ila tuzo ya spana kali kali (kamati ya roho mbaya) naomba iende kwako…….unawachapa sana aisee😂😂Usafi ni jadi yetu, pia waambie kabisa hakuna filter hapo, na hali iko hivyo hivyo mpk ndani ndani huko kwenye residential areas. Elimu pia imetusaidia sana Watz, unajua unaweza ukawa na elimu alafu isikusaidie kama Wakenya na raia wa vinchi vingine vya EA raia wengi hawana elimu na wachache wenye elimu haiwasaidii. Unakuta miji michafu matakataka kila kona mfano Kampala na ka Nairobi mauchafu everywhere yn civilization ni zero kabisa katika nchi nyingi za Afrika hususan hizi nchi ambazo raia wake wengi ni mafukara kama Kenya, Burundi na Somalia.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣NB: Wakenya pia asiwasahau, wao nao ni watu japo wachafu😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]As Mwaka unaisha na bado tuko kwenye huu uzi wetu pendwa, mimi naomba kwa heshima kabisa nimuombe Mwenyekiti wetu ichoboy01 atoe tuzo kwa wadau kadhaa humu kwa mchango wao katika uzi huu. Ila tuzo ya spana kali kali (kamati ya roho mbaya) naomba iende kwako…….unawachapa sana aisee[emoji23][emoji23]
NB: Wakenya pia asiwasahau, wao nao ni watu japo wachafu[emoji23][emoji23]