Oya wanangu wa bongo sisi tupo vizuri sana kwa hapa EA,mara ya kwanza kabla sijatoka nilikuwa naiona bongo kama vile siielewi Fulani hivi!!!!!! Lakini last month nilifanikiwa kurudi Kenya nimeona mambo ni yale yale hakuna maendeleo yoyote watu wana shida mpaka zinawanukia yaani ule umaskini wenyewe……kula tu ni mtihani,kuoga ndo usiseme halafu ukichanganya na walivyo weusi kama south sudan unaweza ukacheka
Huu mwezi nilikuwa Uganda tena kampala yenyewe kabsa!!! Oya kiukweli ule mji ni wa kichoko sana,hakuna plan yoyote ya kwamba huu ni mji mkubwa…kampala ni kama moro wanangu…..ila hivi sasa wanajenga flyover ndefu sana kama ya KM 3 nahisi itaweza kubadili mazingira ya ule mji kidogo
Unapotembea,tembea kifua mbele…sisi ni matajiri sana
MUNGU ibariki Tanzania [emoji1241]