Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatia huruma wallahi, najua unapitia kipindi kigumu sana ila utazoea. Tz tumetumia miaka saba (7) tu kuzidi flyover zenu za tofali, mbaya zaidi sisi tumejenga modern flyover na tushawazidi kwenye flyover, huu msemo wako ulikuwa unafanya kazi miaka mitano iliyopita sio sasa, tuko juu yenu kwa kila kitu, ila pole kwa kuku disappoint
Ebu nionyeshe picha za flyovers Tatu tu pekee from Tanzania nikucheke kidogo😂😂
 
Maumivu haya, Kibaka road huwezi linganisha na Expressway wala Thika Superhighway.., or Uganda's Entebe express highway.., mko nyuma bado.., elavated section ya expressway ni 11.2KM inakuuma sana hadi unajaribu kuidunisha eti 6km., pole mjukuu ukweli inauma sana., mko below Uganda flyover gani hizo ziko Tz?.., ama ni zile ziko Dar pekee?.., mko down bado wacha kujitetea sana, haubadilishi lolote, unatia huruma tu..,
Ile siku utaniletea uthibitisho kwamba expressway ya mchina ina elevated section ya 11km ndio siku naondoka jamiiforums, hv nyie uongo unawasaidia nn? Kwn ukiishi kwenye zone yako utapata shida gn?
 
MAPPING-PROGRESS_2021-725x1024.jpg
 
Bongolala our sgr can be electrified anytime we feel there's a need to do so. At the moment, our electricity demand can't allow us to do so. Remember Kenya produces more electricity than your country but due to our high demand, we still aren't able to electrify ours.

Nyinyi mnatengeneza umeme kidogo but due to your low electricity demand, you managed to electrify your sgr. Don't get emotional bongolala. We have no business getting jealous of a neighbour who produces less electricity and has lower demand for the same than us!
Hapo kanavyosema "due to our high demand of electricity" utadhani labda wana demand kubwa kama China au US kumbe MW wanazozalisha hata 3000 hazizidi, Wakenya yn sifa wameumbwa nazo wallahi
 
Tanzania's Education is trash. No wonder hapa jamii forums kumejaa failures who can not proceed with education ju ukianguka mtihani yako imeisha hivyo.

Image
 
Tanzania's Education is trash. No wonder hapa jamii forums kumejaa failures who can not proceed with education ju ukianguka mtihani yako imeisha hivyo.

Image
Elimu yetu huipati kirahisi rahisi na ndiyo maana unakuta msomi bongo ni msomi kweli sio kama huko kwenu hakuna kufeli mwishowe mnazalisha wezi na wahuni.
 
Sasa kwnn unamchukia kama sio rais wako na hakukuongopea wewe wala Wakenya? Unamchukia kwnn wkt hakuwa rais wa Kenya? Kitu gn kinafanya Wakenya mumchukie zaidi Magufuli kuliko rais yeyote wa Tz? Kuna nn kimejificha hapo, je mnaipenda zaidi Tz kuliko Kenya?
Swali zuri sana hilo.

Sisi wabongo tunajuana, naelewa baadhi yetu kumchukia Magu lakini nangojea jibu la wakenya.
 
Nimekuambia uweke operational flyovers, sio vitu bado Iko under construction . As far as I know Tanzania only have one operational flyover
We msenge nn wapi umetaka operational flyovers, onesha sehemu umeandika hivyo.
Fyi, hzo flyovers zote ni operational, unaposhindwa kubali mbwa wewe.
 
We msenge nn wapi umetaka operational flyovers, onesha sehemu umeandika hivyo.
Fyi, hzo flyovers zote ni operational, unaposhindwa kubali mbwa wewe.
Kama ziko operational basi umeeka picha za under construction? Tuonyeshe picha zao zikiwa operational 😂😂😂
 
Back
Top Bottom