President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,798
Zaidi sanaNyinyi demand yenu ni ngapi? Tuanzie hapo ndio uje na machozi baadae
Zaidi sanaNyinyi demand yenu ni ngapi? Tuanzie hapo ndio uje na machozi baadae
Sasa hapa lazima waweke mikataba wazi na wa Tz wajue lasivyo hatutojua, na hii mikataba bora ishuduiwe hata na mahakama kubwa zote za nchi tatu na ya mkandarasi ili kusiwe na mambo ya kudaiana badae na ndege zikaanza kukamatwa .Tatizo langu ni umiliki tuu, mambo ya mikataba ya miaka 100 siyo sawa.
Hakuna nchi duniani inayofanya hivyo.Sasa hapa lazima waweke mikataba wazi na wa Tz wajue lasivyo hatutojua, na hii mikataba bora ishuduiwe hata na mahakama kubwa zote za nchi tatu na ya mkandarasi ili kusiwe na mambo ya kudaiana badae na ndege zikaanza kukamatwa .
Issue ya 2 Burundi most likely hana Cash flow ya kutosha kuweka kwenye reli , Plus Tz ana punch tayari over our weight kwahyo hii reli ita strain mifuko zaidi kama tunataka iishe haraka so PPP was a way to go .
Idea nzuri , je mikataba itazaa faida kwa muwekezaji na sisi we have to wait to see alot of citizens dont trust their goverments ikija kwenye mikataba hata huo wa LNG nasubiri nione kama utawekwa wazi
Mikataba kuwekwa wazi, sidhani, tena kwenye gesi ndo usiseme. Mama pale ni sura tuu, waendeshaji ni mafisi.Sasa hapa lazima waweke mikataba wazi na wa Tz wajue lasivyo hatutojua, na hii mikataba bora ishuduiwe hata na mahakama kubwa zote za nchi tatu na ya mkandarasi ili kusiwe na mambo ya kudaiana badae na ndege zikaanza kukamatwa .
Issue ya 2 Burundi most likely hana Cash flow ya kutosha kuweka kwenye reli , Plus Tz ana punch tayari over our weight kwahyo hii reli ita strain mifuko zaidi kama tunataka iishe haraka so PPP was a way to go .
Idea nzuri , je mikataba itazaa faida kwa muwekezaji na sisi we have to wait to see alot of citizens dont trust their goverments ikija kwenye mikataba hata huo wa LNG nasubiri nione kama utawekwa wazi
So next step ni ipi kuamini tu the goverement sioHakuna nchi duniani inayofanya hivyo.
Hapa ndipo lilipo tatizo, na mikataba yetu tunasaini kwa 10%Tatizo langu ni umiliki tuu, mambo ya mikataba ya miaka 100 siyo sawa.
So how will we know , inafaida kwa nchi, ?Mikataba kuwekwa wazi, sidhani, tena kwenye gesi ndo usiseme. Mama pale ni sura tuu, waendeshaji ni mafisi.
Elctricity is measured in MW, not zaidi sanaZaidi sana
Finish that fool who doesn't know what an assembly line is. 😂Elctricity is measured in MW, not zaidi sana
Eti Dar inashinda Nairobi kwa gdp?😂😂😂😂
In the year of our lord 2022 hawa watu bado wanafanya hivi? Nakumbuka walitamba sana na Mt Kilimanjaro. LolAfu muache kuchukua picha zetu
View attachment 2449879View attachment 2449881View attachment 2449882View attachment 2449883
Ati kijitonyama ni business district? Basi Mombasa road pia ni business district 🤣🤣😂🤣🤣
Nadhani ni mpango wa PPP kama alivyoeleza Bwana Simon, me sioni tatizo kabisa, tupunguze haya madeni ila terms ziwe win win.Clarification is needed kwa alichoongea!
Mkopo ambao hamjapewa nyie sindio?$10 B mkopo, amesema Mama Taifa mwenyewe.