President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Hizi propaganda of omission tulishazifanya muda sana.Is hospital not a facility?😂😂🤣😂
Leta link. Kama hutaki nitaitafuta.
Hizi propaganda of omission tulishazifanya muda sana.Is hospital not a facility?😂😂🤣😂
Achana na Link juu hata hiyo link enyewe hutasoma😂😂🤣Leta link pia.
Watu wanamchezo sana,Herd immunity kasema ni nn?I am a Christian. A devoted Christian for that matter. But Christian teachings tell me that God helps those who help themselves. You can't pray over a serious health issue and still subject yourself to the same danger you are praying over and expect God to help you. You must take precautions even as you pray over that issue. Don't take us for fools.
About herd immunity (it's herd immunity btw, not heard immunity as you put it), ulisoma wapi kwamba kujifukiza as Tanzanians did during Covid, forms part of herd immunity? Do some research on herd immunity and how it helps a community, not an individual person, become immune to a disease then come back for engagement


Apo ni Sumbawanga nje kidogo ya Mji
Look! You can go all day, talking all sorts of things just to make yourself feel better but the facts will always be......I am a Christian. A devoted Christian for that matter. But Christian teachings tell me that God helps those who help themselves. You can't pray over a serious health issue and still subject yourself to the same danger you are praying over and expect God to help you. You must take precautions even as you pray over that issue. Don't take us for fools.
About herd immunity (it's herd immunity btw, not heard immunity as you put it), ulisoma wapi kwamba kujifukiza as Tanzanians did during Covid, forms part of herd immunity? Do some research on herd immunity and how it helps a community, not an individual person, become immune to a disease then come back for engagement
)Hawa huwa wanaiga kila kitu.
JNHPP ni pesa za ndani 100% kama ilivyo SGR lot 1
Uyo chizi hanaga msimamo.Sasa mzee unajichanganya mwenye tu. Sipendi ujinga ujue.
Mara unasema Ghana uchumi wake umekufa mara Ghana inatuzi. Which is which. Sielewi hata unataka kusema nini!?
Hii ukiachia mambo ya TV rights clubs zinapata!
Shit hole country is nowhere near to be seen, bora hata shit hole GhanaHii ukiachia mambo ya TV rights clubs zinapata!






Wachezaji wanalipwa kwa mechi yani wanapewa posho ya chakula, ndiyo maana wachezaji wote wa East and Central Africa wanawaza kucheza Tz, kuna mchezaji mmoja wa Tp mazembe nilikutana naye JNIA akaniambia nimepush sn kwenda Yanga au Simba imeshindikana ila trust me lazima nicheze moja ya hizi timu, akanipa na namba yake ya wasap kwamba kama siamini atanikumbusha cku moja, zen akapanda pipa akarudi Congo.Kenya wanapigiwa makofi…..![]()
Watchman acha uongo bana😂Wachezaji wanalipwa kwa mechi yani wanapewa posho ya chakula, ndiyo maana wachezaji wote wa East and Central Africa wanawaza kucheza Tz, kuna mchezaji mmoja wa Tp mazembe nilikutana naye JNIA akaniambia nimepush sn kwenda Yanga au Simba imeshindikana ila trust me lazima nicheze moja ya hizi timu, akanipa na namba yake ya wasap kwamba kama siamini atanikumbusha cku moja, zen akapanda pipa akarudi Congo.
Hoja gani ya kufananisha mgr na sgr?Hayo ndio unayaweza sio hoja,Mjinga kweli wewe
Ulitaka kusema "ndumila kuwili"? Au uko kwenu Kenya ndivyo msemavyo?
Kumbe ndio chanzo mkuu?Kuna mtu ulimnyoosha humu mpk akabadilika akawa upande wa Kenya mpk kesho anaiponda nchi yake![]()


