Hatujaikataa ati tulipewa.Mkopo ambao hamjapewa nyie sindio?
Ngoja pakamilike hapa ndio mtakapojua hamjui.

Sisi hatukusema tunajenga kwa hela zetu, tulikubali kuanza mwanzo tumekopa.Mkopo ambao hamjapewa nyie sindio?
Someone who has travelled doesn't speak this way. Danganya toto jinga.Oya wanangu wa bongo sisi tupo vizuri sana kwa hapa EA,mara ya kwanza kabla sijatoka nilikuwa naiona bongo kama vile siielewi Fulani hivi!!!!!! Lakini last month nilifanikiwa kurudi Kenya nimeona mambo ni yale yale hakuna maendeleo yoyote watu wana shida mpaka zinawanukia yaani ule umaskini wenyewe……kula tu ni mtihani,kuoga ndo usiseme halafu ukichanganya na walivyo weusi kama south sudan unaweza ukacheka
Huu mwezi nilikuwa Uganda tena kampala yenyewe kabsa!!! Oya kiukweli ule mji ni wa kichoko sana,hakuna plan yoyote ya kwamba huu ni mji mkubwa…kampala ni kama moro wanangu…..ila hivi sasa wanajenga flyover ndefu sana kama ya KM 3 nahisi itaweza kubadili mazingira ya ule mji kidogo
Unapotembea,tembea kifua mbele…sisi ni matajiri sana
MUNGU ibariki Tanzania![]()
Oya wanangu wa bongo sisi tupo vizuri sana kwa hapa EA,mara ya kwanza kabla sijatoka nilikuwa naiona bongo kama vile siielewi Fulani hivi!!!!!! Lakini last month nilifanikiwa kurudi Kenya nimeona mambo ni yale yale hakuna maendeleo yoyote watu wana shida mpaka zinawanukia yaani ule umaskini wenyewe……kula tu ni mtihani,kuoga ndo usiseme halafu ukichanganya na walivyo weusi kama south sudan unaweza ukacheka
Huu mwezi nilikuwa Uganda tena kampala yenyewe kabsa!!! Oya kiukweli ule mji ni wa kichoko sana,hakuna plan yoyote ya kwamba huu ni mji mkubwa…kampala ni kama moro wanangu…..ila hivi sasa wanajenga flyover ndefu sana kama ya KM 3 nahisi itaweza kubadili mazingira ya ule mji kidogo
Unapotembea,tembea kifua mbele…sisi ni matajiri sana
MUNGU ibariki Tanzania![]()
Kwa nini hii ishu ya COVID bado mnang'ang'ania! Covid was a hoax! Kila kitu kipo wazi! Bado tu mnapiga makelele tulidanganya. Nyie ndo mlidanganya na mnaendelea kudanganya.JPM was never open in anything. He loved getting credit even where he doesn't deserve. If he lied to you people about a serious health issue like Covid-19 what makes you think he couldn't lie about the funding of your mega projects?
Kwenye sekta ya Habari usijaribu kabisa! Waandishi wenu ndo the most incompetent Africa mzima. They are only good at reporting lies and fake news. Kila mtu anajua.Ulitaka mzungu atoke Marekani aje kurepoti? Jinsi wanahabari wenu walivyo wavivu mnategemea wanahabari wa Ulaya na Marekani na Kenya usidhani huku tumezubaa hivo.
CITIZEN is the biggest broadcasting company in East and Central AfricaKwenye sekta ya Habari usijaribu kabisa! Waandishi wenu ndo the most incompetent Africa mzima. They are only good at reporting lies and fake news. Kila mtu anajua.
Au kwa hiko kingereza chenu broken ndo mnajiona mko juu.
Bila ya Aga khan bado mngekiwa kwenye redio mbao nyie!
Azam TV. Kama kuna kitu kinafika hata robo ya hii kitu huko kwenu ndo uongee na mimi!
Roho inakuuma sana we jamaa na hii treni yetu! Na najua ikianza tu kazi utakuja kutalii na kuenjoy treni yetu! Sisi hatuna roho mbaya. Karibu tu!Awe Mturuki, awe Mjapani, awe Mjerumani cha maana ni kuwa mlitapeliwa bureti treni.![]()
![]()
How do I start engaging a person who believes covid was a hoax? It's a hoax to you because you or a close member of your family or circle of friends didn't get infected to the point of needing a ventilator to breath.Kwa nini hii ishu ya COVID bado mnang'ang'ania! Covid was a hoax! Kila kitu kipo wazi! Bado tu mnapiga makelele tulidanganya. Nyie ndo mlidanganya na mnaendelea kudanganya.
I never supported JPM ila kwenye COVID nipo nyuma yake 100%
Kwambaaa.? 🤣🤣🤣CITIZEN is the biggest broadcasting company in East and Central Africa
Hebu muulize if they have a journalist poached by an international media house like we have in KenyaCITIZEN is the biggest broadcasting company in East and Central Africa
Jengeni uwanja acheni upumbavu, hii ni aibu.Umeonyesha JKIA ya kitaambo tena hilo jengo la katikati lilishabomolewa alafu JNIA umeonyesha latest tena gate pekee. Onyesha hiyo warehouse yote.![]()
![]()
![]()
VS
![]()
![]()
Show me any broadcasting company bigger than Citizen in the region.Kwambaaa.? 🤣🤣🤣