Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oya wanangu wa bongo sisi tupo vizuri sana kwa hapa EA,mara ya kwanza kabla sijatoka nilikuwa naiona bongo kama vile siielewi Fulani hivi!!!!!! Lakini last month nilifanikiwa kurudi Kenya nimeona mambo ni yale yale hakuna maendeleo yoyote watu wana shida mpaka zinawanukia yaani ule umaskini wenyewe……kula tu ni mtihani,kuoga ndo usiseme halafu ukichanganya na walivyo weusi kama south sudan unaweza ukacheka

Huu mwezi nilikuwa Uganda tena kampala yenyewe kabsa!!! Oya kiukweli ule mji ni wa kichoko sana,hakuna plan yoyote ya kwamba huu ni mji mkubwa…kampala ni kama moro wanangu…..ila hivi sasa wanajenga flyover ndefu sana kama ya KM 3 nahisi itaweza kubadili mazingira ya ule mji kidogo

Unapotembea,tembea kifua mbele…sisi ni matajiri sana

MUNGU ibariki Tanzania
Africa ni kichekesho sn, alafu miji mingi ya kiafrika ina vumbi lile jekundu, inakera sana.
 
Mombasa terminus is better than any sgr terminal in tanzania
Mombasa terminus.jpg
Mombasa terminus 1.jpg
Mombasa terminus 2.jpg
 
SGR from Naivasha to Kisumu and Uganda border loading.........................................
SGR to malaba kenya.jpg
 
How do I start engaging a person who believes covid was a hoax? It's a hoax to you because you or a close member of your family or circle of friends didn't get infected to the point of needing a ventilator to breath.

If it was a hoax mbona basi mliambiwa mlijifukize ili kuepuka kuambukizwa corona na mkafanya alivyowaamuru?
Hoax means hyped, it was just a petty matter, didn't necessarily have to be exaggerated the way they did, ninyi mlivyo wapumbavu ndio mliua tens of people just for curfews
 
Hoax means hyped, it was just a petty matter, didn't necessarily have to be exaggerated the way they did, ninyi mlivyo wapumbavu ndio mliua tens of people just for curfews
You forget the number of people your government silently killed by lieng to them about the existence of the disease? Those who didn't take precautions because covid was a hoax. Mnachekesha sana watanzania
 
Me mwenyewe nashindwa kuelewa,tuna viongozi, wazembe na sio wabunifu kabisa..
Kabisa, me nilidhani baada ya ile dual carriage municipal wangejiongeza kusogeza pavings na hata kuweka garden and trees, lakini imebaki vilevile na zile palms zimekufa, yaani hili nalo mpaka tukope? Ilala municipa council mnazingua………pendezesheni mji, najua mnapita humu.
 
You forget the number of people your government silently killed by lieng to them about the existence of the disease? Those who didn't take precautions because covid was a hoax. Mnachekesha sana watanzania
Government killed them? Serikali iliwanyima dawa za covid?
 
Kabisa, me nilidhani baada ya ile dual carriage municipal wangejiongeza kusogeza pavings na hata kuweka garden and trees, lakini imebaki vilevile na zile palms zimekufa, yaani hili nalo mpaka tukope? Ilala municipa council mnazingua………pendezesheni mji, najua mnapita humu.
Hapo tutampa manji ajenge hizo pavements beach iwe yake for 20yrs then ataturudishia.
Kipindi hicho zitakuwa zimebomoka hivyo tutatafuta mwekezaji mwingine wa kurepair naye tunampa Beach for a certain period of time.
 
Back
Top Bottom