Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chamoto kumbe na wewe ni mzushi?
Awamu ya 5 hawajawahi kukusanya kodi kama awamu hii,matumizi ni makubwa kuliko uwezo ndio maana wanakopa lakini usipindishe uhalisiaView attachment 2454631
Naona umeamua makusudi kuiruka hoja yangu ya tozo. Hiyo trilioni 22 ni wastani wa trilioni 1.8 kwa mwezi, hii ikijumlisha makamuzi yasiyo ya huruma ya tozo. Kipindi kilichopita hakukuwa na tozo lakini bado makusanyo yalikuwa yanafika trilion 1.5 kwa mwezi.
 
Nimecheka sana huo mstari! Mimi nimezaliwa Muhimbili na kukulia Ubungo NHC, Nyuma ya Ubungo Plaza kuna Rubada na nyuma kuna kota huko. Hakukua na mtu aliyekuwa na Ng'ombe hizo pande ndugu.

Shukran kwa kunichekesha na mstari wako wa Ng'ombe.
Nje ya mada nimeishi sana maeneo hayo, nyuma ya Ubungo Plaza na Ubungo National Housing Primary School. Ni maeneo yangu hayo mkuu, kila nikija dar nikifika hayo maeneo najihisi niko home kabisaa

Kuna mzee mmoja anaitwa Mzee Shayo(dalali) ni rafiki yangu sana, mzee Mushi (R.I..P).

Kuna password hotel imetulia sana, Kagame hotel,MIC hotel,n.k. Ebwanaee umenikumbusha maeneo yangu mzee.

Mungu akijaalia baada ya sikukuu nakuja nikishavuna mazao yangu
 
Sa mbona hii ni picha ya meli.? Au wewe unaona bandari.?
Hapo ni Kisumu oil jetty which Mwanza will never have. Ukiangalia hii picha utaiona on the other side of the lake. That's where oil tankers dock

1671743179542.png

1671744302589.png

1671744368650.png

1671744491352.png
 
Makenya ni majinga sn mpk leo bado yanaendelea kutengeneza data yn unakuta kajitu hakana kazi na kana maisha mabovu lkn utakuta kanakesha kutengeneza data kaweke mtandaoni kapate sifa, basi apo huwezi amini kanafurahi hata kama kanajua ukweli haupo hivyo
Endeleeni kulia 😂😂🤣😂

number_of_passengers_2015_2021.png
tons_of_cargo_2015_2021.png
aircraft_movement_2015_2021.png


 
Unatia huruma wallahi, najua unapitia kipindi kigumu sana ila utazoea. Tz tumetumia miaka saba (7) tu kuzidi flyover zenu za tofali, mbaya zaidi sisi tumejenga modern flyover na tushawazidi kwenye flyover, huu msemo wako ulikuwa unafanya kazi miaka mitano iliyopita sio sasa, tuko juu yenu kwa kila kitu, ila pole kwa kuku disappoint
Wana kila sababu ya kumchukia Magufuli hata mimi nawabariki wazidi kumchukia tu maana alituamsha na hatulali tena Watanzania. utazidi kuwaka.
 
Nje ya mada nimeishi sana maeneo hayo, nyuma ya Ubungo Plaza na Ubungo National Housing Primary School. Ni maeneo yangu hayo mkuu, kila nikija dar nikifika hayo maeneo najihisi niko home kabisaa

Kuna mzee mmoja anaitwa Mzee Shayo(dalali) ni rafiki yangu sana, mzee Mushi (R.I..P).

Kuna password hotel imetulia sana, Kagame hotel,MIC hotel,n.k. Ebwanaee umenikumbusha maeneo yangu mzee.

Mungu akijaalia baada ya sikukuu nakuja nikishavuna mazao yangu
Oyaaa mimi pande hizo ni Miaka ya 1980s mpaka 1990s. Watu wa kitambo hicho ni Ngaiza, Mwanza, Deus (ambaya ndio Kajumulo aliyekuwa na timu ya mpira), Gawasa, Kigan, Chawenda na wengine wengi.
 
Na ukisikia vile mabati rolling mills husifiwa hapa...! Utabaki kinywa wazi
Hawa watu hawapendi facts. Nowadays tuusan and Walker255 are their enemies cause they are arguing using facts. Ingekuwa wakenya hawazingatii facts kama hao saa hii discussion ingeshaisha kitambo juu kwa maneno huwawezi. Just try to imagine Kenyans are less than ten in this thread na ndio tunawapea jasho hivi, so tungekuwa hata 50 ingekuaje Sasa?😂😂🤣.

No wonder wameshindwa kuparticipate kile Nairaland juu there people are engaging using facts and evidences. Kule hakuna mwenye anapingana na World Bank, IMF na UN kama huku.
 
Kila mtu ni mwizi Kenya
Wanaibiana hadi magari.Kenya hutembei na kadi ya gari kama kwetu hata kama ni copy yake. Ustaajabu jinsi li nchi Lao lilivyo la hovyo kwa rushwa na wizi wanaingia kwenye mfumo wanabadili kila kitu na mamlaka hazifanyi kitu .

Unashangaa unaambiwa hii gari siyo yako ni ya bwana Wanjiru, wakati wewe unaitwa Onyango
 
Back
Top Bottom