Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Total cargo handled in 2021.

JKIA Vs Mabati rolling mills.

JKIA 363,204 tons
View attachment 2455124

Mabati rolling mills 20,000tons
View attachment 2455125
Hivi uzuri na ubora wa kiwanja unapimwa kwa idadi ya watumiaji au unatokana na design ya jengo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

JNIA is the best airport in this region, you can't question that whether we use it or we decide not to use it and keep it empty daily[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimemkumbuka Mh JPM mbali na madhaifu yake kufufua reli ya kaskazini ilikua kazi moja ya Heshima kubwa kwa watu wa Kaskazini...
Kaskazini kunafikika kwa barabara nzuri,reli ama ndege....Ni hakika ni moja ya eneo lililopendelewa miundombinu yote
Lililopendelewa na nani? Kuna sehemu Tanzania ina hdi kubwa zaidi ya kaskazini?
 
Ww huwez kujua faida za kujifukiza ndio tiba nzuri sana na iliotumiwa na mababu zetu na huwez kudharau tiba hasa wazungu wamekwambia haina tiba 🤣🤣🤣 haya niambie ww yale machanjo yalifkia wapi na ugonjwa uko wapi yani unataka kunambia 21st century bado hamuna hata akili yakufikiri na kuona mbali na covid ilianzishwa na wao kuuwa uchumi wa africa

Haya niambie wazungu walitabiri waafrica watakufa na watazagaa barabarani ziko wapi sasa hzo siasa, punguza ujinga siku zote akili za kupewa changanya na zako
Umejaa propaganda na upotoshaji.

Maendeleo ya sayansi na teknolojia ya medicine leo yanatusaidia sana kuliko “kujifukiza.” Au labda nikuulize swali. Ukiumwa kichwa Au tumbo, unaanza wapi? Pharmacy Au kutafuta dawa za jadi?

Hata kwenye jamii zilizoelimika bado watu kama Wewe wapo. Watu wanaopinga sayansi na kuchagua conspiracy theories na propaganda. Covid-19 pandemic ni very recent lakini hata hao watu wanaopinga modern medicine wamekuwa-inoculated Kwa chanjo zilizotengenezwa na maendeleo ya sayansi kuepuka magonjwa mengi.

“Covid-ilianzishwa na hao” wakina nani? Maana Covid-19 originated in China and that’s a fact. That does not mean that the Chinese made the virus. Kuliko kusambaza story za kahawani, trust science! Sayansi inabebwa na reason and facts.
 
Naona umeamua makusudi kuiruka hoja yangu ya tozo. Hiyo trilioni 22 ni wastani wa trilioni 1.8 kwa mwezi, hii ikijumlisha makamuzi yasiyo ya huruma ya tozo. Kipindi kilichopita hakukuwa na tozo lakini bado makusanyo yalikuwa yanafika trilion 1.5 kwa mwezi.
Tozo sio kodi na haiko katika hesabu za TRA
 
Breakdown ya $10B Tanzania SGR
20221222_215310.jpg
 
Endeleeni kulia [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]

View attachment 2455118View attachment 2455120View attachment 2455121

Wewe hata u nurse unaosema kwamba ndiyo career yako nakataa, hakuna mfanyakazi wa health sector akawa busy na mitandao ya kijamii namna hiyo, si unamuona tuusan hapatikani mda wote kama wewe! Eti nurse alafu huna hata muda wa kupumzika, wewe ni jobless huna kazi wewe fala. Muda wote upo JF hiyo kazi unafanya saa ngp? Kidonda utaosha saa ngp na inajulikana kabisa hyo sector ilivyo busy, huna kazi msenge wewe wacha uongo.
 
Yeye akithubutu kuweka wake angalia vizuri kucha, zina weusi ambao ni uchafu wa siku nyingi kwasababu ya kukosa maji masafi, hajisafishi vizuri...uchafu wao uko damuni.

Kama ukiona kucha safi ujue si mkono wake. Mtegeshee siku nyingine atajisahau tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom