Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hili nyang'au ni jinga sijawahi kuona. Yani ulaletewa ushahidi wa uwepo wa Azam TV Kenya, Uganda, Malawi, Zimbabwe na Rwanda. Lakini bado unauliza swali hilo hilo muda wote!

Zuzu wahid wewe!!
Uwepo sio shida, the question remains that who watches it?
 
Watu wanarusha live coverage katika vituo vaidi ya 8, na wanafanya hivyo nchi zaidi ya tano and in high definition!

Unataka kufananisha na kichaneli hata HD hawana. Rangi vimekolea mpaka zinaumiza macho.
🤣🤣🤣🤣🤣 yani wakenya ni watu hawapendi kushindwa na tanzania kwa chochote sasa wanasahau utandawazi una nguvu kuliko uongo
 

Tanzania SGR project threatens Mombasa port business​

By Mercy Simiyu
December 21st, 2022 2 min read


Ruto.jpeg

Kenya President William Ruto holds talks with his Tanzanian counterpart Samia Suluhu. PHOTO: COURTESY

Tanzania has moved ahead of Kenya in the race to control the cargo import and export transport business cargo in the East African Community (EAC).

This follows the signing of a $2.2 billion (about Sh260 billion) deal between President Samia Suluhu Hassan’s government and China to construct the final section of the Standard Gauge Railway line aimed at linking the country with its neighbours in the west.

The 2,561-kilometre network will link the port of Dar es Salaam to Mwanza on Lake Victoria, with eventual spurs to Burundi, the Democratic Republic of Congo (DRC), Rwanda, and Uganda.

President Samia Suluhu Hassan, who witnessed the signing, said the construction of the 506 km final section of the Standard Gauge Railway (SGR) from Tabora to Kigoma would be completed in 2026, nine years after it began.
“Upon completion of the SGR, Tanzania will be in a better position to utilize its strategic geographical positioning to facilitate cross-border trade,” she said, as reported by Citizen.

“We have to borrow for this important infrastructure and other sustainable development projects because we don’t have enough local resources,” she said, dismissing criticism the country was taking on too much debt.

Meanwhile, Kenya is struggling to fund the remaining part of the SGR construction from the port of Mombasa to Uganda, South Sudan, and Ethiopia.

Transport Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen recently conceded President William Ruto’s government is seeking partners to help in extending the construction works, with the railway from Mombasa currently terminating at the resort town of Naivasha.

The Tanzanian railway line to Mwanza could increase competition for Ugandan traders who currently rely on the Port of Mombasa.

Tanzania has already taken over a majority of the cargo transport business to DR Congo, Rwanda, and Burundi from Kenya.



MY TAKE
Wivu wa Kundustan hauna mipaka!
Wakenya ni watu wenye wivu na roho mbaya Sana, kila kitu kinachofanyika Tanzania wao wanakitazama katika jicho la mashindano badala ya mtazamo wa kushirikiana. If you can't defeat them, join them. Kenya Haina ubavu wa kushindana na Tanzania katika miradi mikubwa Kama hii

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Azam Tv wana uwezo wa kuonesha matukio live nane tofauti tofauti kwa wakati mmoja kukiwa na maana kila channel inachukua tukio Kwenye source yake yenyewe sio channel nane zichukue Kwenye source moja.
Atuambie hiyo kienyeji yao inaweza kufanya hivo?

Answer with evidence.
Azam sio ya kulinganisha na vitu vya kijinga tafadhali.
 
Back
Top Bottom