Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi hasira zako usiniletee. Citizen Tv pekee has 16.8M followers while Azam Iko na only 9.1M followers on social media 😂😂🤣😂
Kitu ambacho hujasema na hautasema ni kwamba Azam TV inaenda Afrika nzima na Citizen TV imeishia Kenya, hata ukiangalia kwenye other super brand businesses, Toyota ina followers wengi na matangazo mengi kuliko Ferrari. 😅😅
 
Ile siku utaniletea uthibitisho kwamba expressway ya mchina ina elevated section ya 11km ndio siku naondoka jamiiforums, hv nyie uongo unawasaidia nn? Kwn ukiishi kwenye zone yako utapata shida gn?
Wewe jf huwezi hama ata siku moja.., uta change ID, sio mara ya kwanza, nawajua, ukubali ukatae fact remains boya 😂
1671685553886.png
 
Wapo wengi tu ambao kama hawapo ukiongezea akina Juma Aweso, Jafo, Simbachawene.. wanaosikika au kuonekana sana ni Mwigulu, Dr Tax, Bashungwa (kaanza kupotea, kapelekwa jeshin), Bashe, Prof Mbarawa, Nape na Obama wa Bongo
Wanaotamba sasa hivi na wanaweza kukujibu lolote ni Mwigulu, Nape, Obama wa Bongo na Mbarawa
 
After that utuambie citizen ilianzishwa mwaka gani na azam ni ya mwaka gani utaona tofaut kubwa sana 🤣🤣🤣 ndio maana unaambiwa azam media ndio inakuja kuchukua khatama ya dstv africa sio kenya tu tunazungumzia africa
So umekubali Citizen Tv is way bigger than Azam Tv?😂😂🤣😂 Alafu nani anajua Azam Tv nje ya Tanzania?
 
Kitu ambacho hujasema na hautasema ni kwamba Azam TV inaenda Afrika nzima na Citizen TV imeishia Kenya, hata ukiangalia kwenye other super brand businesses, Toyota ina followers wengi mengi kuliko Ferrari. 😅😅
The meaning of followers in broadcasting industry is acceptance and love. Mtu haezikufuata kama hakupendi and that love of Citizen is why it has many followers than Azam.
 
Asante kwa kukubali kuwa Azam ni kubwa kuliko Citizen.
Naona unaendelea mambo yenu ya ukabila yaliyoko huko kenya. Tanzania hatuna ukabila
Nimesema ni ya Mwarabu, sijasema ni kubwa kuliko Citizen. Kuelewa kwako ndio shida. Hapo Tz mmejaa ukabila ni kuficha mnaficha otherwise Waarabu na Wahindi hawangekuwa wanammiliki jinsi wanavyommiliki.
 
Back
Top Bottom