Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tupe coverage ya Citizen tv tulinganishe.
Citizen TV mnatazama hadi hapo Tandale unapoishi.

Azam TV inawezekana ikawa na coverage hata dunia nzima lakini ikakosa watazamaji. They say numbers don't lie. Hata kwa kuanfalua tu hizo data za online followers and likes, mtu ahitaji rocket scienxe kujua ni kampuni ipi kubwa
 
Utajuaje idadi ya waliokufa wakati serikali yenu ilikuwa ikibania taarifa za covid? Sisi idadi ya waliokufa inajulikana kwa sababu kila kitu kiliwekwa wazi na waziri wetu alikuwa akitoa taarifa hizo wazi kwa vyombo vya habari. On the other hand nyinyi taarifa hizo mlizibania hadi WHO even asked your government to give covid updates

Nyie mliotangaza covid mliishia wapi?? Mbona hamutangazi siku hzi au pesa za wazungu zimekata 🤣🤣🤣 yanu akili zenu zimetawalia ndio maana munakufa njaa ovyo
Yeye anafikiri ukubwa wa media house ni umiliki wa magari makubwa
Ila akili zako ww ni ndogo sana 😆😆😆
 
Hapo tutampa manji ajenge hizo pavements beach iwe yake for 20yrs then ataturudishia.
Kipindi hicho zitakuwa zimebomoka hivyo tutatafuta mwekezaji mwingine wa kurepair naye tunampa Beach for a certain period of time.
Unaweza andika kiutani utani lakini kuna watu mawazo yao yako hivyo
 
Are you talking about prayer na kujifukiza as the best policies? I remember muombe ma mjifukize na miti shamba. A whole nation can't be this stupid!

Secondly, how could you know the number of deaths when your own government refused to provide updates on the pandemic?
Ww huwez kujua faida za kujifukiza ndio tiba nzuri sana na iliotumiwa na mababu zetu na huwez kudharau tiba hasa wazungu wamekwambia haina tiba 🤣🤣🤣 haya niambie ww yale machanjo yalifkia wapi na ugonjwa uko wapi yani unataka kunambia 21st century bado hamuna hata akili yakufikiri na kuona mbali na covid ilianzishwa na wao kuuwa uchumi wa africa

Haya niambie wazungu walitabiri waafrica watakufa na watazagaa barabarani ziko wapi sasa hzo siasa, punguza ujinga siku zote akili za kupewa changanya na zako
 
Let's see who is more popular between that your Azam and Citizen.

Twitter followers.

Citizen 4.9M, Azam 1M
View attachment 2454028
View attachment 2454029


Facebook.
Citizen 6.2M followers, Azam 2.2M followers.
View attachment 2454030
View attachment 2454031


Instagram
Citizen 1.8M followers, Azam 3.7M followers.
View attachment 2454032View attachment 2454033

YouTube subscribers

Citizen 3.9M
Azam 2.2M
View attachment 2454039View attachment 2454040


So total followers are as below.

Citizen is 4.9+6.2+1.8+3.9=16.8M followers
Azam is 1+2.2+3.7+2.2=9.1M followers.
After that utuambie citizen ilianzishwa mwaka gani na azam ni ya mwaka gani utaona tofaut kubwa sana 🤣🤣🤣 ndio maana unaambiwa azam media ndio inakuja kuchukua khatama ya dstv africa sio kenya tu tunazungumzia africa
 
Kunyaland wanalipa ushuru wa serikali kwa mkono halafu wanasema wapo mbele yetu kwenye cashless movement 🤣

Screenshot_20221222-061332.png
 

Tanzania SGR project threatens Mombasa port business​

By Mercy Simiyu
December 21st, 2022 2 min read


Ruto.jpeg

Kenya President William Ruto holds talks with his Tanzanian counterpart Samia Suluhu. PHOTO: COURTESY

Tanzania has moved ahead of Kenya in the race to control the cargo import and export transport business cargo in the East African Community (EAC).

This follows the signing of a $2.2 billion (about Sh260 billion) deal between President Samia Suluhu Hassan’s government and China to construct the final section of the Standard Gauge Railway line aimed at linking the country with its neighbours in the west.

The 2,561-kilometre network will link the port of Dar es Salaam to Mwanza on Lake Victoria, with eventual spurs to Burundi, the Democratic Republic of Congo (DRC), Rwanda, and Uganda.

President Samia Suluhu Hassan, who witnessed the signing, said the construction of the 506 km final section of the Standard Gauge Railway (SGR) from Tabora to Kigoma would be completed in 2026, nine years after it began.
“Upon completion of the SGR, Tanzania will be in a better position to utilize its strategic geographical positioning to facilitate cross-border trade,” she said, as reported by Citizen.

“We have to borrow for this important infrastructure and other sustainable development projects because we don’t have enough local resources,” she said, dismissing criticism the country was taking on too much debt.

Meanwhile, Kenya is struggling to fund the remaining part of the SGR construction from the port of Mombasa to Uganda, South Sudan, and Ethiopia.

Transport Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen recently conceded President William Ruto’s government is seeking partners to help in extending the construction works, with the railway from Mombasa currently terminating at the resort town of Naivasha.

The Tanzanian railway line to Mwanza could increase competition for Ugandan traders who currently rely on the Port of Mombasa.

Tanzania has already taken over a majority of the cargo transport business to DR Congo, Rwanda, and Burundi from Kenya.



MY TAKE
Wivu wa Kundustan hauna mipaka!
 
Let's see who is more popular between that your Azam and Citizen.

Twitter followers.

Citizen 4.9M, Azam 1M
View attachment 2454028
View attachment 2454029


Facebook.
Citizen 6.2M followers, Azam 2.2M followers.
View attachment 2454030
View attachment 2454031


Instagram
Citizen 1.8M followers, Azam 3.7M followers.
View attachment 2454032View attachment 2454033

YouTube subscribers

Citizen 3.9M
Azam 2.2M
View attachment 2454039View attachment 2454040


So total followers are as below.

Citizen is 4.9+6.2+1.8+3.9=16.8M followers
Azam is 1+2.2+3.7+2.2=9.1M followers.
Wewe kweli ni boya.
Azam Tv inashindana na DSTV wewe unatetea kituo

Screenshot_20221222-070411.png


Tuoneshe hiyo Citzen kwenye nchi zingine.
 
Back
Top Bottom