President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,762
- 89,785
Weka link.
Weka link.
Si ulitaka evidence kuwa hiyo camera ni ya Citizen TV? Umepata ama hujapata? 🤣
Ni kilaza mmoja hivi majuzi baba yake alihamaki baada ya kuulizwa sababu ya umeme kukatika.Obama wa bongo ndio nani huyo mkuu![]()
Umeweka link tuipitie?Si ulitaka evidence kuwa hiyo camera ni ya Citizen TV? Umepata ama hujapata? 🤣
Jibambe dogo. Sina huo muda. Wacha nijitayarishe kusherehekea Krismasi. Adios muchachos.🙌Weka link.
Umeshindwa kuleta Link. Jipige kufua na useme Kenya ni wajingaJibambe dogo. Sina huo muda. Wacha nijitayarishe kusherehekea Krismasi. Adios muchachos.🙌
Citizen ana decoder kama azam hvi nyinyi munaeza linganisha chakula na mikojo serious, azam yuko mbali sana azam ame dominate karibu nchi 9 mzeee🤣🤣🤣 tena kenya ndio wakwanza kuisifu azam TVSo umekubali Citizen Tv is way bigger than Azam Tv?😂😂🤣😂 Alafu nani anajua Azam Tv nje ya Tanzania?
Pwahahaha unaleta mambo ya 2010Si ulitaka evidence kuwa hiyo camera ni ya Citizen TV? Umepata ama hujapata? 🤣
Zuku ni nn mimi siijui ni kitu gani 🤣🤣🤣🤣Azam ishindane na ZUKU kwanza😂😂😂
Jibambe dogo. Sina huo muda. Wacha nijitayarishe kusherehekea Krismasi. Adios muchachos.🙌
Akiweka tu nitag 🤣🤣🤣🤣 kwanza jamaa kava kikoti sijui kina lebel ya kampuni ganiUmeweka link tuipitie?
Tena hio sio ya citizen kwasababu huyo sio mfanyakazi wa citizen ni wa kampuni tofaut kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anakwambia hawaijui 🤣🤣🤣🤣
Kama unaongelea decoder basi ZUKU imeshinda Azam mbali sana.Citizen ana decoder kama azam hvi nyinyi munaeza linganisha chakula na mikojo serious, azam yuko mbali sana azam ame dominate karibu nchi 9 mzeee🤣🤣🤣 tena kenya ndio wakwanza kuisifu azam TV
Kwa unyonge mno unajibu. Hebu tuambie sasa hiyo Citizen zaidi ya kenya wapi utaiona?Nobody watches Azam outside Tanzania.
Azam TV inapambana na DSTV. Zuku ni maharage ya wapi?Kama unaongelea decoder basi ZUKU imeshinda Azam mbali sana.
Kumaanisha camera tumekuwa nayo since 2010 ndio nyinyi mnapata sahii na inawasumbua?🤣🤣