Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,946
Unaota? When was that?Kuna siku nimeona humu Teargas anasema Azam Tv ni ya kenya
Unaota? When was that?Kuna siku nimeona humu Teargas anasema Azam Tv ni ya kenya
Anapenda kujifananisha na Obama, hata akivaa shati la mikono mirefu huwa anapenda kuikunja kama Obama.Nishamjua
Na kwnn anaitwa jina kubwa hivyo mpumbavu kama yule.
You have become very miserable today. After knowing that kenya is far behindUnaota? When was that?
Weka link
![]()
Ghana huko kinawaka, nchi imefilisika kwa madeni.
We need to be careful too.![]()
Ghana huko kinawaka, nchi imefilisika kwa madeni.
Maua mmelisha ng’ombe?😂😂
Yule rais wao toka ahamaki na corona nilimuona kichwa maji.Rais wao juzi alisema nchi za Afrika ziache kuwa omba omba!
Ndugai.We need to be careful too.
Maana tumeshakopa $10b kwa ajili ya sgr na bado haijaisha.
Nchi ambazo hazikopi ni chache sana dunianiWe need to be careful too.
Maana tumeshakopa $10b kwa ajili ya sgr na bado haijaisha.
Sisi tupo kwenye group la 20%We need to be careful too.
Maana tumeshakopa $10b kwa ajili ya sgr na bado haijaisha.
You see the problem with Tanzanians? They worry about Kenya so much they forget about themselves. Ndio maana mlidanganywa na Magufuli ooh hamna madeni ooh mnajenga kwa hela zenu hadi sahii mmeanza kumchukia Mama kwa kuwaambia ukweli.![]()
Ghana huko kinawaka, nchi imefilisika kwa madeni. Hello Kenya!
Msikilize huyu mama kama yuko timamu kichwani!
Hivi mrehemu aliwahi kukuibia bibi yako, mbona unapenda kumtaja taja sana?You see the problem with Tanzanians? They worry about Kenya so much they forget about themselves. Ndio maana mlidanganywa na Magufuli ooh hamna madeni ooh mnajenga kwa hela zenu hadi sahii mmeanza kumchukia Mama kwa kuwaambia ukweli.
Statement ya WB Ulisema wapi kwamba Pesa inaenda kujenga madarasa? Maelezo yalikuwa Ni kusaidia sekta ya Afya,ku mitigate effects za korona na kusaidia forex reserves.Na mbona huwa hatuambiwi pesa zilizokopwa kwa ajili ya sgr?
Zingine zote tunaambiwa, mfano za uviko 19 tuliambiwa na wakajenga madarasa