Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu ambacho hujasema na hautasema ni kwamba Azam TV inaenda Afrika nzima na Citizen TV imeishia Kenya, hata ukiangalia kwenye other super brand businesses, Toyota ina followers wengi na matangazo mengi kuliko Ferrari.
Nmewaomba wanitajie coverage ya Citizen tv wameishia kuongea utumbo tu ulioambatana na wivu. Mtu na akili zako unawezaje kushindanisha local tv vs global tv, utakuwa kichaa.
 
Nimesema ni ya Mwarabu, sijasema ni kubwa kuliko Citizen. Kuelewa kwako ndio shida. Hapo Tz mmejaa ukabila ni kuficha mnaficha otherwise Waarabu na Wahindi hawangekuwa wanammiliki jinsi wanavyommiliki.
Sasa hiyo Citizen ukubwa wake uko wapi. Nimekutaka ulete facilities zake naona unabwabwaja. Mambo yenu ya ukabila sisi hatuyataki.
 
Onesha facilities za Zuku
Leta kitu kama hiki

D4WB3gjWkAAvt-5.jpg
Basi ndio facilities?
 
Mzee naona unaanza kuhamisha magori. Sasa hivi tunaanza kuongelea warabu na wakenya. Umeshindwa kuleta facilities za Citizen. Kwahiyo Citizen tv is a shithole.
Kwani Citizen watawezaje kubroadcast bila facilities?😂😂😂
 
Basi ni nini unajua maana ya facilities?
Unataka nianze kukufundisha kingereza tena?

View attachment 2454247
Ukiwa na network nzuri huitaji kuzunguka all over na libasi likubwa nimebeba satelittes. You only need a journalist, a microphone, aand a camera. Huko kwenu hamna network ndio maana mnajisumbua na mabasi mkizungukazunguka. Hayo tuliyafanya enzi zile kabla tudevelop good transmission ifrastructure kama hii hapa ya early 90s.

E4Vm4X0XwAIYYWw.jpg
 
Sasa KBC imekuwa Citizen tena. 😀 😀 😀 😀 Mama yangu
 
Back
Top Bottom