Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you talking about prayer na kujifukiza as the best policies? I remember muombe ma mjifukize na miti shamba. A whole nation can't be this stupid!

Secondly, how could you know the number of deaths when your own government refused to provide updates on the pandemic?
Your wokeness is your worst enemy!
Even after the whole world is regretting how they handle COVID-19. praise is showered on countries like Sweden that handled the pandemic the best without lockdown and harsh regulations

You keep on disregarding all that just because Tanzanias were smarter than you and had defeated the hoax.

Pole yako sana!
Woke is the new disease!
 
Azam TV inapambana na DSTV. Zuku ni maharage ya wapi?
Zuku ndio kusema Tanzania yet you are here dreaming about DSTV😂😂🤣😂

Za Siku Mkuu

Niko WANANCHI GROUP: Zuku na SimbaNET.

TV Iko huwani toka November 2017.

Zuku na SimbaNET niko Kikazi.

Zuku ni 69000 ukinunua cha 79000 ni pamoja na tv, unapata zile chanell zao bure.

Ebhana ee!!, ZUKU fiber ndiyo bora zaidi kuliko hata TTCL, kwasababu vifurushi vyao ni nafuu, halafu unapewa bonasi ya chaneli za TV bure.

Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna Zuku sana sana ni TTCL lakini bado sijajua ufanisi wao na kwa wale wajuzi na watumiaji wa vifurushi kwenye smart tv ni vifurushi vya aina gani ie GB , speed kwa yule wa matumizi ya kawaida(sio kutwa kukaa kwenye kochi ukiangalia runinga
 
Your wokeness is your worst enemy!
Even after the whole world is regretting how they handle COVID-19. praise is showered on countries like Sweden that handled the pandemic the best without lockdown and harsh regulations

You keep on disregarding all that just because Tanzanias were smarter than you and had defeated the hoax.

Pole yako sana!
Woke is the new disease!
Sweden didn't lose their president to COVID though, usijiweke nao.🤣🤣
 
Kwahiyo umeacha tena issue za Citizen vs Azam TV unarukia zuku? Asante kwa kukubali kuwa Azam ni kubwa.
Sikia nikwambie bro hawa usifkiri hawajui ukubwa na umuhimu wa azam wakitoka hapa wanakwenda kusifu azam kwa wenzao na dstv anekiri kua azam ndio inakuja kummaliza kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na haya mapovu zaidi ni kwasababu wanaumia sana na wivu sana
 
Umeniniitisha camera nikakupa, ama sijakupa?🤣
Hujaonesha Camera ya Citizen TV. Mimi nakuonesha Camera za Azam TV
1671695527015.png
 
Kwahiyo umeacha tena issue za Citizen vs Azam TV unarukia zuku? Asante kwa kukubali kuwa Azam ni kubwa.
Ulisema nani anatumia Zuku Tanzania nikakuonyesha. Sasa unarukaruka kama ng'ombe Yuko on heat nowhere to hid your face😂🤣😂
 
Back
Top Bottom