Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Camera pekee ndio inakutia kiwewe? An ordinary camera that even village stations have?

citizenlivelinks.jpg
Old school ufananishe na modern Cameras [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kilaza mmoja hivi majuzi baba yake alihamaki baada ya kuulizwa sababu ya umeme kukatika.
Nishamjua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na kwnn anaitwa jina kubwa hivyo mpumbavu kama yule.
 
The biggest ship in lake Victoria has docked in Kisumu. Thank you Uganda.

Watanzania msiwe na worry cause this ship can't dock in Mwanza.

 
Watu wanarusha live coverage katika vituo vaidi ya 8, na wanafanya hivyo nchi zaidi ya tano and in high definition!

Unataka kufananisha na kichaneli hata HD hawana. Rangi vimekolea mpaka zinaumiza macho.
Hapo kwenye kuumiza macho ndipo Azam na Dstv inapozipiga bao tv nyingi za kiafrika.
 
Hahaha, Azam ni Kama maji, usipoyanywa, utalazimika kuyatumia kwa njia yoyote Ile, huwezi kuyahepuka[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nilitaka niseme hivi mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu kaamua kujipa jina la msanii wa Tz kabisa kuonesha namna gani Tz inambamba, YoungD ni kifupi cha jina la msanii wa Tz anaitwa Young Dar es salaam kifupi chake ndio YoungD.
Ni dogo mmoja hiv kitaan, anaitwa David.. so nadhan YoungDee ni Young David 😀
 
Kuna siku nimeona humu Teargas anasema Azam Tv ni ya kenya
Kwenye sekta ya Habari usijaribu kabisa! Waandishi wenu ndo the most incompetent Africa mzima. They are only good at reporting lies and fake news. Kila mtu anajua.

Au kwa hiko kingereza chenu broken ndo mnajiona mko juu.

Bila ya Aga khan bado mngekiwa kwenye redio mbao nyie!

Azam TV. Kama kuna kitu kinafika hata robo ya hii kitu huko kwenu ndo uongee na mimi!
 
Back
Top Bottom