Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukipenda ulie ukipenda ucheke cause I don't give a fu-ck😂🤣😂
View attachment 2452937
So kasema hvi sindio 🤣🤣🤣🤣🤣 kweli unaumia sana sikujua unamaumivu kias hicho
Screenshots_2022-12-20-18-54-55.png
 
Kuna kitu lakini inabidi GOT wajitahidi hasa under The current president tusije tukakopa hadi tukaingia kwenye risk ya debt distress kama Majirani , sasa hivi asikope tena mara huku mara kule tutaingia kwenye distress tuingie kipindi cha kuwa na ubunifu wa kuongeza uzalishaji na kodi , na sio kodi za kuwaumiza wananchi , tutulie huku tukimalizia miradi sio kuruka huku na kule
 
Stop blaming her for speaking the truth unlike her predecesor who excelled in lies. Sgr ilianza kujengwa kwakati wa JPM so when you want to put the blame solely on her you are not being fpp>air and honest. JPM borrowed money for sgr but he made most Tanzanians believe that ilijengwa na pesa za ndani. Very poor leadership quality
Wanataka kudanganyia mama yet tuliwaambia humu hawana uwezo was kujenga SGR na pesa zao hawakuskia. Tukawaambia tofauti ya Tz na Kenya ni kuwa Kenyan government is more open to criticism hawakuskia. Waache taasubi ya kiume kumuonea mama bure.

Cc Geza Ulole tuusan Walker255 game over Simon
 
I can remember telling them ati Magufuli anawadanganya na hawakuskia. Today mama Samia said that Tanzania has borrowed $10.04B for SGR.
 
Stop blaming her for speaking the truth unlike her predecesor who excelled in lies. Sgr ilianza kujengwa kwakati wa JPM so when you want to put the blame solely on her you are not being fpp>air and honest. JPM borrowed money for sgr but he made most Tanzanians believe that ilijengwa na pesa za ndani. Very poor leadership quality

I know what you want to hear and worse, you don't want to hear the truth. I do know and acknowledge your exceptional level of stupidity, but I still have reservation for you.

From these pictorial evidence, you can easily identify poor leadership.

Uhuru Kenyatta
640px-Kenya_Railways_DF8B_locomotive_on_the_new_SGR_line_06-06-2017.jpg

John Magufuli
hqdefault.jpg
 
I can remember telling them ati Magufuli anawadanganya na hawakuskia. Today mama Samia said that Tanzania has borrowed $10.04B for SGR.
10b for what wakat unaona anasaini miradi inayoendelea kwenda kigoma burundi rwanda na congo au ana saini inaelekea wap ?🤣🤣🤣🤣🤣
Mm au ww anaeumia 🤣🤣🤣🤣 kakopa kwa ajili ya mradi unaoendelea ila usitudanganye kushusu other phases amabayo budget yake ilishatolewa na hakuna loan
 
Nani kakuambia hakuna loan? Hivo ndio mliambiwa ati Tanzania inaongoza Africa kwa electricity access when in reality your access rate is only 30%🤣😂🤣😂
 
Tukope tu, deni bado ni himilivu, zama za kudanganywa hatukopi huku tunakopa kimyakimya zimepitwa na wakati. BTW utajengaje over 1500km za SGR (about 23trilion), Bwawa la umeme, BRT, International Airports, miradi mingine ya maendeleo kwa bajeti ya 35trilion?

Walipa kodi wenyewe hakuna wa kutosha, tozo hamtaki, kukopa pia hamtaki ila mnataka kushindana humu na miradi ya matrilioni……nyie watu vipi?

Uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?
 
Yani mtu amekaa kuumia kwann tanzania imeweza kujenga baadhi ya phase za SGR kwa pesa zake 🤣🤣🤣🤣 yote kwasababu wao wameshindwa
Phase one 1.2b usd gvt of tz
Phase two 0.5b usd gvt of tz
Phase five 1.5b usd gvt of tz

Eti mtu anaumia kwann 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nani kakuambia hakuna loan? Hivo ndio mliambiwa ati Tanzania inaongoza Africa kwa electricity access when in reality your access rate is only 30%🤣😂🤣😂
Yani mtu amekaa kuumia kwann tanzania imeweza kujenga baadhi ya phase za SGR kwa pesa zake 🤣🤣🤣🤣 yote kwasababu wao wameshindwa
Phase one 1.2b usd gvt of tz
Phase two 0.5b usd gvt of tz
Phase five 1.5b usd gvt of tz

Eti mtu anaumia kwann 🤣🤣🤣🤣🤣
 
10b for what wakat unaona anasaini miradi inayoendelea kwenda kigoma burundi rwanda na congo au ana saini inaelekea wap ?🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa unapingana na raise wenu. Samia mwenyewe ndio amesema Tanzania imekopa $10B for SGR, who are you to dispute her?🤣🤣😂😂

Screenshot_20221220-174820_1.jpg
 
Nani kakuambia hakuna loan? Hivo ndio mliambiwa ati Tanzania inaongoza Africa kwa electricity access when in reality your access rate is only 30%🤣😂🤣😂
Yani ukweli hautabadilika na hautarudi nyuma utake usitake 🤣🤣🤣🤣🤣
Yani mtu amekaa kuumia kwann tanzania imeweza kujenga baadhi ya phase za SGR kwa pesa zake 🤣🤣🤣🤣 yote kwasababu wao wameshindwa
Phase one 1.2b usd gvt of tz
Phase two 0.5b usd gvt of tz
Phase five 1.5b usd gvt of tz

Eti mtu anaumia kwann 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa unapingana na raise wenu. Samia mwenyewe ndio amesema Tanzania imekopa $10B for SGR, who are you to dispute her?🤣🤣😂😂

View attachment 2452955
Amesema kakopa 10b kwa mradi wa SGR unaondelea au ww unafkiri from kigoma to burundi and rwanda and congo pesa atatoa wap sindio hio anakwambia amekopa kwa ajili ya kumalizia mradi mzima wa SGR 🤣🤣🤣 tatizo lenu munaumia sana na miradi ya tanzania na bahat nzuri mm nimeskiza hata hotuba yake yeye malengo yake anataka ifikie burundi na rwanda
 
Back
Top Bottom