Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,960
- 27,955
Hizo hasira zako pelekea rais wako. Mimi hakuna penye nimesema ati Tanzania ilikopa $10B🤣🤣😂😂😂Yani ukweli hautabadilika na hautarudi nyuma utake usitake 🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo hasira zako pelekea rais wako. Mimi hakuna penye nimesema ati Tanzania ilikopa $10B🤣🤣😂😂😂Yani ukweli hautabadilika na hautarudi nyuma utake usitake 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe huna akili. Kwani nyinyi ndio mtajengea Rwanda na Burundi SGR Yao?😂🤣😂🤣. Hizo $10B ni SGR Tanzania from phase 1-10🤣🤣Amesema kakopa 10b kwa mradi wa SGR unaondelea au ww unafkiri from kigoma to burundi and rwanda and congo pesa atatoa wap sindio hio anakwambia amekopa kwa ajili ya kumalizia mradi mzima wa SGR 🤣🤣🤣 tatizo lenu munaumia sana na miradi ya tanzania na bahat nzuri mm nimeskiza hata hotuba yake yeye malengo yake anataka ifikie burundi na rwanda
Mm sina hasira mwenye hasira ni ww unaetapatapa ma miradi ya tanzania watu wanalenga kufila rwanda na burundi ww unaumia hapa 🤣🤣🤣🤣🤣Hizo hasira zako pelekea rais wako. Mimi hakuna penye nimesema ati Tanzania ilikopa $10B🤣🤣😂😂😂
View attachment 2452956View attachment 2452958
Tell that to your President 😂😂😂🤣😂Yani ukweli hautabadilika na hautarudi nyuma utake usitake 🤣🤣🤣🤣🤣
GDP halisi ya Tz ni $150b ndio maana tunafanya miradi mikubwa inayofanyika developed countries.Pesa za ndani pesa za chupi.![]()
![]()
![]()
Wamejaza madeni na GDP ndogo kama panya.
Ww zungukaa nanmaumivu lakini ukweli ndio huo na hautapingika 🤣🤣🤣🤣 musisahau miaka 5 ijayo mutashtuka SGR ishaunganisha congo rwanda na burundi alaf mukasema hamkuambiwa
Mm sina hasira mwenye hasira ni ww unaetapatapa ma miradi ya tanzania watu wanalenga kufila rwanda na burundi ww unaumia hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe jibu hoja kama unayo sio kuuliza maswali ya kipumbavu, ulinilipia ada?Uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?
Mkuu hawa wakundustan unawapiga spana mpk sio poa








hayo ndio malengo ya 10b 🤣🤣🤣🤣Mimi ndio nilisema Tanzania imekopa $10B for SGR ama ni rais wako?🤣🤣😂🤣
View attachment 2452965
Hehehe deni mwanzo mwisho alafu ubaya zaidi mnaletewa trains second hand🤣🤣🤣🤣Ww zungukaa nanmaumivu lakini ukweli ndio huo na hautapingika 🤣🤣🤣🤣 musisahau miaka 5 ijayo mutashtuka SGR ishaunganisha congo rwanda na burundi alaf mukasema hamkuambiwa
Apa umeeleza vizuri kwa zaidi ya 80%Magufuli kaondoka phase one na two ziko asilimia ngapi? Wewe unajua utaratibu wa malipo Serikalini ni wa awamu (as per certificate), unadhani hizo percentage pesa zilitoka wapi? Alafu vipi kuhusu phase 3,4,5 na leo 6……hizo hela zinatoka wapi?
Magufuli aliacha Bwawa liko below 20% leo linakimbia over 70%, hizo zote ni hela.
Magufuli aliacha BRT phase 2 ikiwa inasuasua, leo tumepata pesa hadi ya phase 5.
Magufuli aliacha ndege 6 nadhani, Samia kaongeza tano zinakuja.
Mji wa Serikali Dodoma, Magufuli aliacha wizara zinatumia majengo madogo, Samia kaongeza hela wizara zote zinamalizia majengo yao makubwa kuwezesha watumishi wote kuamia kule.
Barabara, Samia kaweka hela za kujenga ring road Dodoma over 105km, hapo sijaweka za TARURA.
Daraja la Busisi JPM aliacha liko chini ya 20% leo limefika 60%,
Miradi iko mingi na hizo zote ni hela ambazo bajeti yetu haiwezi kussuport. Huu ndio ukweli. Tuendelee kukopa au tulipe kodi, tuchague tunataka nini…..!!
Deni la 10b reli inakwenda nchi tatu kwa mpigo bado hujashtuka tu 🤣🤣🤣🤣Hehehe deni mwanzo mwisho alafu ubaya zaidi mnaletewa trains second hand🤣🤣🤣🤣
View attachment 2452966View attachment 2452967
Watchman wewe unajua Nini kuhusu GDP?GDP halisi ya Tz ni $150b ndio maana tunafanya miradi mikubwa inayofanyika developed countries.
Huwa najiuliza pesa za kodi wanafanyia nn? Mana kila kitu wanajengewa hawa wazembe mpk choo.Wamsheizika Nchi ina GDP kubwa ila project hazionekani ,ndege hazionekani ,Reli yao imeishia Msituni, Hamna cha maana , Expressway wanajivunia ni PPP, ukiuliza kitu gani cha maana wamefanya hamna
Deni la 10b reli inakwenda nchi tatu kwa mpigo bado hujashtuka tu 🤣🤣🤣🤣
Congo
Rwanda
Burundi
Uvinza kwenye madini
Sasa mbn unapost kichwa cha mkandarasi, umechanganyikiwa?