Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Flyover zimejaa kibao Tz kwa ss, hakuna infrastructure ipo Kenya isiwepo Tz ila kuna infrastructures kibao zipo Tz huwezi pata East and Central Africa hata ulie huwezi badili huo ukweli
Hii sio flyover mgonja kifo, inaitwa expressway ya 27km na tz haina
 
Hoja yangu ilikuwa kuhusu SGR yeye ananiletea vitu tofauti kabisa na SGR.
Jamaa sijui vipi. mama anakopa mno na hela inapigwa kila kona. Waziri mkuu kila anapokwenda hela za miradi zimepigwa vibaya, matumizi ya serikali yako juu, viongozi wanasafiri hovyo na wanafikia mahoteli ya gharama plus traveling allowances na bado manunuzi ya V8.

Kwa jinsi mama anapigiwa promo na mambo yangekuwa yanaenda vyema, wangetupa takwimu za mapato kila mwezi, why wameweka kwapani? halafu mtu anakwambia tusipige kelele!
 
Mombasa kuna daraja pana kuliko hio
Mombasa sasa
Screenshot_20221220-220919.png
 
Sasa unataka kushika makende ya mwanaume wewe shoga nini!? Mimi mambo ya ushoga nimewaachia nyie mimi ni mtu wa Mungu. Endeleeni na kushika makende ya wanaume.
Wakenya mnashika makende.
Mimi ni mwanamke ila siwezi shika makende ya kilaza kama wewe. Nina class mimi.

PS - Kushikwa makende ni figure of speech. Hukuenda shule wewe?
 
Ndio maana Kenyatta kachukua vyake mapema mko hapa kuchekacheka tu Ujinga,mafala nyinyi
Mimi siwezi wacha gari langu nkapande brt nipakwe jasho na masharobaro na kukwama kwa junctions wakati naweza lipia expressway nifike na dakika kumi
 
Back
Top Bottom