Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wazima mada imegeuka ikakua mambo ya camera [emoji848] [emoji28]
Kwamba

"Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehhhh Nairobi is developing fast." [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1070971582_408x306.jpg
tapatalk_1184600122_408x306.jpg
 
Sasa mulamula na mama wana tofauti gan kwenye uzungu? Kwenye kuwanyenyekea na kuwatii wazungu? Ulitaka awapinge? Mama mwenyewe hawezi kuwapinga.
m7 pekee kama head of state ndo kaongea kuwa wataendelea regaldless of western drama
As a MoFA anapaswa ku-issue a letter of protest to EU Parliament! Ila sina uhakika kama issue ya EACOP ndo imemtoa!

 
Although the road hasn’t been built in the few days as claimed… the road though had stopped since they were afraid to pass it through kibera now it has started and is being built at a high speed, the road divides kibera with this kind of divisions soon we might not be hearing of the largest slum
 
  • Yuko wap yule waziri wa maji Aweso aliekuwa akichacharuka watu wakila fedha za mirad ya maji kipind kile?
  • Waziri wa biashara saiz ni nan? Mbona simsikii?
  • Kwenye umeme nilipo, wazir wake ndo uozo no.1
  • Kwenye fedha, ndo yupo mwigulu baba tozo
Sijui nilitaka niandike nn.. ila ngoja ninyamaze[emoji25][emoji40]
Acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...by Afande Sele.
 
Hili jengo lingekuwa kwao wangepiga kelele humu wiki nzima, jamaa washamba sn wa majengo hawa, huwa nashangaa sana. Yani ktk vitu ambavyo havinistui basi ni majengo.
Ndio mnatoka porini 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 jengeni buildings za maana nje ya Dar pia paonekane kando na mauswazi mlizo jaza kwa miji zenu..,
1664786602740.png

1664787330325.png

1664787349584.png
 
Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.

Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.

View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290

BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama siyo kutaja maeneo mtu mwingine angeamini siyo Bongo, hakuna kisingizio cha ukungu hapa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Back
Top Bottom