Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

#HABARI: Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (zaidi ya Sh trilioni 3.05 mwaka 2021.
-
Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati ya Ripoti ya Utafiti wa Watalii ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi imeonyesha.
-
Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema taarifa ya utafiti huo inaonesha kuwa Tanzania inazidi kufanya vizuri katika sekta ya utalii huku mapato yatokanayo na utalii yakiongezeka mwaka hadi mwaka.
-
Amesema mwaka mmoja baada ya mlipuko wa janga la UVIKO-19, idadi ya watalii iliongezeka kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 hadi kufikia watalii 922,692 mwaka 2021 ambalo ni sawa na ongezeko la asilimia 48.6
-
Amezitaja sababu zilizochangia ongezeko la watalii hapa nchini mara baada ya mlipuko wa Janga la UVIKO 19 kuwa ni jitihada zinazofanywa na Serikali pamoja na Sekta binafsi katika kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi
-
Mkomi amesema, matokeo ya utafiti yanaonesha idadi kubwa ya watalii walikuja hapa nchini kwa ajili ya kutembelea hifadhi za wanyamapori na fukwe.

Utafiti huo umefanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Benki Kuu Tanzania (BOT), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Idara ya Uhamiaji, Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Shirikisho la wawekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar ( ZATI)
-
Mkomi amesema takwinu za utafiti huo, zimepatikana kutokana na utafiti uliofanywa katika vituo vikubwa nane vya watalii, ikiwemo viwanja vya ndege vya kimataifa pamoja na maeneo ya njia za kuingilia na kutokea watalii.
-
Matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa idadi kubwa ya watalii wametokea nchi ya Ufaransa ikifuatiwa na Marekani, Kenya pamoja na Zambia
-
Katika hatua nyingine, Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa wastani wa matumizi ya mtalii kwa siku hapa nchini yaliongezeka kutoka dola za Kimarekani 152 mwaka 2020 hadi kufikia dola za Kimarekani 199 mwaka 2021

Una maoni usisite kutuandikia

#HabarileoUPDATESView attachment 2375224
Wajenge stendi huko Arusha na ile ya Moshi imaliziwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio picha itoke kama kapiga wakati wa tetemeko la Ardhi?

"Labda kulikuwa na upepo mkali muda anapiga picha" [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini mbona picha za station na HQ za TRC Dom nilipiga nikiwa kwenye mwendo na zimetoka vizuri na sote tunajua namna makao makuu kulivyo na upepo mkali.
 
IMG_2112.jpg
 
Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.

Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo road inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite road ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.

View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290

BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ukungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Labda kulikuwa na upepo mkali muda anapiga picha" [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini mbona picha za station na HQ za TRC Dom nilipiga nikiwa kwenye mwendo na zimetoka vizuri na sote tunajua namna makao makuu kulivyo na upepo mkali.

Jionee tofauti mkuu[emoji23], Mtu anaongea ukiangalia maandishi yake unadhani anatokea Beverly Hills[emoji23]. Manina
 
Ndio maana hatuoni picha zao humu [emoji23].nilihisj huko rooftop hawaruhusu kupiga picha kapiga kiwoga woga kwa wizi ndio maana kila kitu blurry[emoji23]
Aloo, leo kajiaibisha sn, alafu kana mdomo mpana hako kumbe kapo hovyo mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jionee tofauti mkuu[emoji23], Mtu anaongea ukiangalia maandishi yake unadhani anatokea Beverly Hills[emoji23]. Manina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anakwambia "Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehhhh Nairobi is developing fast.

Hiyo picha sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usiku mwema wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo yanazidi kuwa magumu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom