Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba kuuliza politely.. kwa mikopo inayokopwa na miradi inayoanziwa au imeanzishwa/visioned na awamu ya sasa tokea March 2021, ni miradi gan inachochea kukua kwa uchumi au itafanya uchumi ikue kwa zaid ya 6%. Kuna karesearch nafanya kidogo.. ningependa kujua hio miradi yote pls
Naweza kuutaja mmoja labda LNG kama mikataba itakuwa iko vizuri na siyo ya kutunyonga.
 
#HABARI: Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (zaidi ya Sh trilioni 3.05 mwaka 2021.
-
Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati ya Ripoti ya Utafiti wa Watalii ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi imeonyesha.
-
Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema taarifa ya utafiti huo inaonesha kuwa Tanzania inazidi kufanya vizuri katika sekta ya utalii huku mapato yatokanayo na utalii yakiongezeka mwaka hadi mwaka.
-
Amesema mwaka mmoja baada ya mlipuko wa janga la UVIKO-19, idadi ya watalii iliongezeka kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 hadi kufikia watalii 922,692 mwaka 2021 ambalo ni sawa na ongezeko la asilimia 48.6
-
Amezitaja sababu zilizochangia ongezeko la watalii hapa nchini mara baada ya mlipuko wa Janga la UVIKO 19 kuwa ni jitihada zinazofanywa na Serikali pamoja na Sekta binafsi katika kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi
-
Mkomi amesema, matokeo ya utafiti yanaonesha idadi kubwa ya watalii walikuja hapa nchini kwa ajili ya kutembelea hifadhi za wanyamapori na fukwe.

Utafiti huo umefanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Benki Kuu Tanzania (BOT), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Idara ya Uhamiaji, Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Shirikisho la wawekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar ( ZATI)
-
Mkomi amesema takwinu za utafiti huo, zimepatikana kutokana na utafiti uliofanywa katika vituo vikubwa nane vya watalii, ikiwemo viwanja vya ndege vya kimataifa pamoja na maeneo ya njia za kuingilia na kutokea watalii.
-
Matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa idadi kubwa ya watalii wametokea nchi ya Ufaransa ikifuatiwa na Marekani, Kenya pamoja na Zambia
-
Katika hatua nyingine, Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa wastani wa matumizi ya mtalii kwa siku hapa nchini yaliongezeka kutoka dola za Kimarekani 152 mwaka 2020 hadi kufikia dola za Kimarekani 199 mwaka 2021

Una maoni usisite kutuandikia

#HabarileoUPDATES
FB_IMG_16647357422045547.jpeg
 
Atakwambia Nairobi ina ukungu sababu ya kuwa na misitu mingi na mvua imenyesha mingi sana leo, akhi leo nimecheka yangu yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa wanachekesha sana, huwa hawapendi kupiga picha kwa mikono yao wanaogopa aibu kama hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Yuko wap yule waziri wa maji Aweso aliekuwa akichacharuka watu wakila fedha za mirad ya maji kipind kile?
  • Waziri wa biashara saiz ni nan? Mbona simsikii?
  • Kwenye umeme nilipo, wazir wake ndo uozo no.1
  • Kwenye fedha, ndo yupo mwigulu baba tozo
Sijui nilitaka niandike nn.. ila ngoja ninyamaze😪😷
 
#HABARI: Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (zaidi ya Sh trilioni 3.05 mwaka 2021.
-
Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati ya Ripoti ya Utafiti wa Watalii ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi imeonyesha.
-
Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema taarifa ya utafiti huo inaonesha kuwa Tanzania inazidi kufanya vizuri katika sekta ya utalii huku mapato yatokanayo na utalii yakiongezeka mwaka hadi mwaka.
-
Amesema mwaka mmoja baada ya mlipuko wa janga la UVIKO-19, idadi ya watalii iliongezeka kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 hadi kufikia watalii 922,692 mwaka 2021 ambalo ni sawa na ongezeko la asilimia 48.6
-
Amezitaja sababu zilizochangia ongezeko la watalii hapa nchini mara baada ya mlipuko wa Janga la UVIKO 19 kuwa ni jitihada zinazofanywa na Serikali pamoja na Sekta binafsi katika kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi
-
Mkomi amesema, matokeo ya utafiti yanaonesha idadi kubwa ya watalii walikuja hapa nchini kwa ajili ya kutembelea hifadhi za wanyamapori na fukwe.

Utafiti huo umefanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Benki Kuu Tanzania (BOT), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Idara ya Uhamiaji, Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Shirikisho la wawekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar ( ZATI)
-
Mkomi amesema takwinu za utafiti huo, zimepatikana kutokana na utafiti uliofanywa katika vituo vikubwa nane vya watalii, ikiwemo viwanja vya ndege vya kimataifa pamoja na maeneo ya njia za kuingilia na kutokea watalii.
-
Matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa idadi kubwa ya watalii wametokea nchi ya Ufaransa ikifuatiwa na Marekani, Kenya pamoja na Zambia
-
Katika hatua nyingine, Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa wastani wa matumizi ya mtalii kwa siku hapa nchini yaliongezeka kutoka dola za Kimarekani 152 mwaka 2020 hadi kufikia dola za Kimarekani 199 mwaka 2021

Una maoni usisite kutuandikia

#HabarileoUPDATESView attachment 2375224
Mbona sioni neno royal tour humu ndani? 2019 mapato ya utalii yalikua zaidi ya $B2 bila rohotua
 
Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.

Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.

IMG_2102.jpg

IMG_2103.jpg

IMG_2104.jpg

IMG_2105.jpg

IMG_2106.jpg

IMG_2107.jpg

IMG_2108.jpg

BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anakwambia "Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehh Nairobi is developing fast."

Hiyo camera sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Majengo yao mengi yapo empty halafu humu wanatupigia kelele tu.
Ndio maana siku hizi nawa ignore tu maana wananuka shida kondoo hawa.

Pitia replies za kwenye hii tweet.

Mbona sioni neno royal tour humu ndani? 2019 mapato ya utalii yalikua zaidi ya $B2 bila rohotua

Wakati nasoma chuo enzi hizo, Tanzania ilikua an add on destination . Yaani wamalize fujo zao zote huko halafu waseme pia kuna Tanzania hebu tucheck kidogo.

Mambo yalibadilika na ile High Quality, Low Density, High priced Tourist products strategy.
Sasa hivi Hawaamini macho yaooo [emoji23].

Kama kitu ni high quality lazima kiwe Expensive sio kule kwa wakulungwa simba mmoja magari 1000 yanamfuatulia na kuna Hotel hata ya 10 Usd, Back packers na Mass tourism ni mchosho.

Angalia rates za four seasons Serengeti na Thanda Isand [emoji23]
Jionee tofauti.
 
Simu yangu naweza piga picha nikiwa na drive mwendo na picha ikatoka vizuri tu.
Sasa how come mtu umetulia rufutopu upige picha halafu picha zitoke mbovu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana hatuoni picha zao humu [emoji23].nilihisi huko rooftop hawaruhusu kupiga picha kapiga kiwoga woga kwa wizi ndio maana kila kitu blurry[emoji23]
 
Back
Top Bottom