Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na bila aibu Una post this picture unakaa kijakazi…. Poor quality clothing na pimple zinainyesha hutunzi Sura vizuri hehe kuna difference kutembea nje kujivinjari na kuenda kuteseka nchi ya wenyewe kukaa kijiweni
Hahaha Huna content jamaa weka Sura yako tuone we si umegoogle picha ya pesa nitunze Sura me choko machoko ukouko cairo
 
Kunyaland Wazee wa GDP wanalia Lia kwa WB na IMF 😆😆..

Kufilisika ni noma Sana wazee👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221002-144324.png
    Screenshot_20221002-144324.png
    120.7 KB · Views: 20
Na bila aibu Una post this picture unakaa kijakazi…. Poor quality clothing na pimple zinainyesha hutunzi Sura vizuri hehe kuna difference kutembea nje kujivinjari na kuenda kuteseka nchi ya wenyewe kukaa kijiweni
Unataarabu sana kijana.Pont yako hapo ni ipi
 
Taahira kweli wewe, Tanganyika yenye wakaazi million 60 inapata nyumba 5k unapagawa, wakati zanzibar yenye wakaazi million 2 imepewa nyumba 10k tena kwa mkopo wataolipa watanganyika ambao hawaruhusiwi hata kumiliki hatua 2 za ardhi zanzibar, mbona hamumuiti huyu bazaz wenu Mobutu?

View attachment 2374484
Nimekuelewa hapo kwenye uwiano haupo sawa.
 
Taahira kweli wewe, Tanganyika yenye wakaazi million 60 inapata nyumba 5k unapagawa, wakati zanzibar yenye wakaazi million 2 imepewa nyumba 10k tena kwa mkopo wataolipa watanganyika ambao hawaruhusiwi hata kumiliki hatua 2 za ardhi zanzibar, mbona hamumuiti huyu bazaz wenu Mobutu?

View attachment 2374484
Kama mna shida nao simuwaache wawe huru. Pthoo.
 
"Rais anafanya Kazi na Watu anaoelewana nao na walio Royal kwake na sio vinginevyo.."

Give us a break for God's sake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado unapata muda wa kujibishana na bwana Kivevele kweli, watu tulishamlima block kitambo sana.

Ujinga wa mtu unatofautina na wa mwingine katika maarifa yaliyomo kwenye ujinga wake kupitia ujumbe anaouwasilisha.

Asikuumize kichwa huyo mkuu.
 
Msifike huko wakuu [emoji3].. kuwatuhumu marais kujenga makwao.. mim sion shida kbsa marais kujenga makwao.. huko kwao pia ni sehem ya Tanzania, hivyo ni maendeleo kwa Tanzania... mfano niliwah kusikia pemba kutajengwa airport mpya.. hio ni habari njema kwangu.. mana zanzbar itafunguka yote kwa kuwa na international airports mbili za kisasa.. hio ni habari nzuri.. nikisikia hata hela zitamwagwa huko kujenga barabara za lami, hospitals, schools, hizo ni habari njema pia kwangu. Mana Zanzbar ni Tanzania pia
Basi sawa mkuu. Tanzania ni yetu sawa maendeleo haki sawa kila sehemu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Msifike huko wakuu [emoji3].. kuwatuhumu marais kujenga makwao.. mim sion shida kbsa marais kujenga makwao.. huko kwao pia ni sehem ya Tanzania, hivyo ni maendeleo kwa Tanzania... mfano niliwah kusikia pemba kutajengwa airport mpya.. hio ni habari njema kwangu.. mana zanzbar itafunguka yote kwa kuwa na international airports mbili za kisasa.. hio ni habari nzuri.. nikisikia hata hela zitamwagwa huko kujenga barabara za lami, hospitals, schools, hizo ni habari njema pia kwangu. Mana Zanzbar ni Tanzania pia
Basi sawa mkuu. Tanzania ni yetu sote maendeleo haki sawa kila sehemu ya Tanzania [emoji16][emoji16][emoji16][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
but corridors in most hse plans are mostly deep in the interior, rarely will u find any window in the corridor..
please i beg u do research with other architects' plans, then get back to me, wht u will have learnt.. [emoji1431]
Aisee leo niko les na maisha sina muda wa kusoma ramani yako hadi nikushauri nakimbizana na maisha nitaharibu, Samahani mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehhhh Nairobi is developing fast. Hapo kwa background ni Eastleigh and Pangani. It's full of green nets. Real Estate Construction is on steroids.
 
Attachments

  • IMG_20221002_164049.jpg
    IMG_20221002_164049.jpg
    293 KB · Views: 19
Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehhhh Nairobi is developing fast. Hapo kwa background ni Eastleigh and Pangani. It's full of green nets. Real Estate Construction is on steroids.
Kajilipua [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ka Nairobi bila filter hakaendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom