Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oyaa nipo road mkuu utaniua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mnufaika wa unga wa ruzuku huyu typical
 
Mzee kwa picha hizi nina wasi wasi na simu yako, ofcz ndiyo uhalisia wa ka Nairobi lkn na simu unayotumia pia nina wasi wasi nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nairobi haihitaji filters hatuna urban decay kama ya Dar is a slum.
IMG_20221002_164037.jpg


IMG_20221002_175316.jpg
 
Kajilipua [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ka Nairobi bila filter hakaendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidogo nimwambie upgrade your camera ndio nikagundua huo utakuwa mtihani mzito, basi tumruhusu aweke hata filters maana picha inaumiza macho balaa😅😂
 
Kidogo nimwambie upgrade your camera ndio nikagundua huo utakuwa mtihani mzito, basi tumruhusu aweke hata filters maana picha inaumiza macho balaa[emoji28][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya is the only African country that booked a space in China's recently launched Tiangong Space Station.

Kenya’s research project is one of the nine selected international scientific experiments of 17 countries.
FB_IMG_16647186441900402.jpeg
 
Back
Top Bottom