Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli hapa wezi kuwa newyork sababu kule hakuna stray moooz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2375565
Zoea Kenya mapema uepuke maumivu moyoni, pressure na ulcers, usife bure.., wewe bado mtoto mdogo kilaza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1664787921580.png

1664787886393.png

1664787898660.png

1664787908188.png

1664787989265.png

1664788012792.png
 
Na wewe hii uboya wako utaepuka lini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
October 16, 2020 vs Tanzania's 2022?.., pesa yenye tulitengeneza 2020 1st quarter ata waleo hamjafikisha? mnafukuza nini kilaza? bado mko porini kilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Tshs5.9 Trillion in 2022 vs Tshs6.1 Trillion in 2020 for Kenya!!!
1664788438129.png

1664788515124.png

Jifunze kufanya utafiti kabla ya kukurupuka, nilikuonya usinitag kwa ushabiki wako wa kipuzi kilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 2375615
View attachment 2375618

Leta ya 2022 kama una ubavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.

Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.

View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290

BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I always pity you guys … you really have the enthusiasm shida tu your country ndo inawalet down imagine having to repeat post this building over and over again
 
Na wewe hii uboya wako utaepuka lini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
October 16, 2020 vs Tanzania's 2022?.., pesa yenye tulitengeneza 2020 1st quarter ata waleo hamjafikisha? mnafukuza nini kilaza? bado mko porini kilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Tshs5.9 Trillion in 2022 vs Tshs6.1 Trillion in 2020 for Kenya!!!
View attachment 2375615
View attachment 2375618
Jifunze kufanya utafiti kabla ya kukurupuka, nilikuonya usinitag kwa ushabiki wako wa kipuzi kilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio tunafunga gap hivyo tena kwa speed ya hatari, hapo bado Nyerere dam halijaisha, EACOP na SGR, bado migodi mikubwa ya nickel, gold na uwekezaji wa $30B wa natural gas the future is promising 🀩🀩🀩

While ninyi hamna project yoyote ya maana mnayotegemea zaidi ya loaning minimization πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Read again 2020 yetu ndio 2022 yenu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom