Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 526
- 1,426
Labda itawapunguzia kufa njaaItawasaidia nn hii kwa mfano.
Labda itawapunguzia kufa njaaItawasaidia nn hii kwa mfano.
Ukisoma post na comment zake unaweza sema jamaa anajiwe mbaya ila bahati mbaya simu imemsaliti..
Ila jamaa umechekesha sn leo mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kariakoo ikianza kujengwa 30 floor hata moja ukuje tubishane.
Pamoja na kujitutumua koote lakini Nairobi haitakaa ipate skyline matata kama hii ya Harare 👇The tallest residential tower in Africa standing tall. Ishapita Prism kwa urefu.
View attachment 2374964
Anakuambia "Wadau niko juu ya KICC rooftop.Inamaana Mkono ulikua unatetemeka na upepo? Chang’aa au alikua anaibia kupiga picha huko juu, Anatuumiza macho bure . Unakua location bomba hivi halafu anatoa utopolo huu na ana kifua kabisa [emoji23], What a loss.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye hili eneo na mpira wa miguu wa wanawake tuko vizuri. Serikali kupitia Wizara ya Michezo iwape kipaumbele, ilinde haki zao na kutunza vipaji vyao,hii michezo inaitangaza nchi yetu.[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee kwa picha hizi nina wasi wasi na simu yako, ofcz ndiyo uhalisia wa ka Nairobi lkn na simu unayotumia pia nina wasi wasi nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],yaani watu wana taabu kweli kweli.Kwa mfano mnaweza mkaniambia hii ni camera ya simu gani wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2374978View attachment 2374979
Ngoja tu me nicheke jioni ya leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakwambia "Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehh Nairobi is developing fast."
Hiyo camera sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atakwambia Nairobi ina ukungu sababu ya kuwa na misitu mingi na mvua imenyesha mingi sana leo, akhi leo nimecheka yangu yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ka Nairobi bila filter hakaendi ila hizi picha hapana mkuu mana ni giza kama kapiga usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mtu kaishangaa simu yake [emoji848][emoji848][emoji848]Hehehe anko simu gan hiyo
Wanafake sana maisha yao hawa jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Behind the Keyboard Warrior VS reality [emoji23]