Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.

Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.

View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290

BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nmewahi kutembea kuanzia apo Victoria hadi mwenge...unachart vizuri tu hakuna fujo...taa zinawaka vizuri mitaro imefunikwa yani full kipupwe...Natoa heshima kwa Aliekamilisha huo mchongo
 
Leo tumuanike huyu mwizi kweupe.. hizi picha kachukua kwenye hii video ya youtube.. watu tuna tech ya kujua ulipopiga/ulipotoa video au picha🤣..
 
Leta ya 2022 kama una ubavu 😂😂😂
Revenue collection between Kenya and Tanzania, financial year 2021/2022.., yaani Tshs.40Trillion for Kenya vs Tshs.22Trillion for Tanzania.., lanes bana😂😂😂😂😂😂😂
1664789923874.png

1664789935679.png
 
DODOMA Iko na majengo mingi ya maana kuliko huu upuuzi umepost hapa.. mind you DOM haingii hata top 5 Bongo
Potelea mbali na hako ka Dodoma Kako.., Rudi Nako kule vijiweni dogo, eti Dom, nyambaff sio Kila sehemu unaleta battle ata kwa mambo obvious 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hata mimi nmewahi kutembea kuanzia apo Victoria hadi mwenge...unachart vizuri tu hakuna fujo...taa zinawaka vizuri mitaro imefunikwa yani full kipupwe...Natoa heshima kwa Aliekamilisha huo mchongo

Safi sana Mkuu. [emoji41]
 
Naona na wewe umeamua kumcheka yule jamaa wa ukungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uongo wew.. unascreenshot video youtube unasema umepiga wew.. ukibisha nakutafutia ulipotoa hii video youtube
View attachment 2375616
Kwa mara nyingine teinaaa jamaa kadakwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hawa jamaa wako hovyo sn, ikiwa vitu vidogo vidogo kama simu wanashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo tumuanike huyu mwizi kweupe.. hizi picha kachukua kwenye hii video ya youtube.. watu tuna tech ya kujua ulipopiga/ulipotoa video au picha[emoji1787]..


Watu hawa hawajawahi kuwa real na maisha yao hata kidogo, ukiangalia mwandiko unaweza kukupumbaza na kuona mtu wa maana ila unakuta anamiliki tu hilo bundle la msaada [emoji23][emoji23][emoji23].
Watu wanaongea maneno sawa na watu wa New york, London na Tokyo [emoji23] lakini wapo dunia ya tatu.
 
Back
Top Bottom