Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna possibility kubwa Mulamula kuuacha ubunge, na kufanya shughuli nyingine nje

Afu nafas za ubunge kuteuliwa na Rais si ziliisha? Hii ya Angela imetoka wap? Au ni kupitia ya Mulamula?
Kwani si Unaweza ukamtoa halafu ukaingiza mwingine. Mfano Slowslow kwani bado Mbunge🤣
 
20221003_082501.png

 
Tangu kufa kwa Magu hatuoni tena barabara za mitaani zikijengwa wala miradi ya maana, zaidi ni miradi ile ile aliyoiacha na isitoshe speed imepungua kabisa, hawajui waanze lipi wamalize na lipi, vimiradi vidogovidogo kama flyover vinatumia miaka mitatu na havijamalizika mpk leo alafu mnawapa airtime kina Kivevele kuongea.
Uchumi hafifu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kion
Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.

Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.

View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290

BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiongozi usisahau kuweka na zile picha zao ili kuweka kumbukumbu vizuri
 
Back
Top Bottom