The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Sauzi ni bure kabisaa. Unaweza ona kama maajabu hivi ukienda kutibiwa.Duniani hamna hospitali mwananchi anatibiwa bure labda nchi za kisoshalisti kama Cuba na North Korea! Lazma matibabu kuchangiwa iwe kwa bima ama malipo ya moja kwa moja!
Katika kitu JPM hakunifurahisha ilikua kutengua uteuzi wa hiki kichwa NHC
Anyway amerudi na moto wake!
Katika kitu JPM hakunifurahisha ilikua kutengua uteuzi wa hiki kichwa NHC
Anyway amerudi na moto wake!
Katika kitu JPM hakunifurahisha ilikua kutengua uteuzi wa hiki kichwa NHC
Anyway amerudi na moto wake!
Hakuna kichwa wala tumbo huko nhc, for it has been a shi***t organization. A wastage of time.
Lakini NHC ndio inamiliki almost 60% ya majengo yote yaliyopo katika CBDs za almost kila mkoa mkubwa Tanzania, NHC ina potential kubwa sana ikipata Intel nzuri, maeneo mengi posh areas Tanzania yanamilikiwa na NHC na mengine yapo idle tu hayaendelezwi huku wananchi wakiamua kujijengea nyumba holela.Alitaka NHC (au kutumia hela za NHC) kujenga kwanza majengo ya kutolea huduma za jamii zinazomgusa au kumsaidia hata mtu wa chini kama hospitals za wilaya, kikanda au mikoa, majengo ya mahakama, machinjio etc.. hii ni pengine kutokana na ufinyu wa budgets ya serikal kugharamia miradi mbalimbali.. ishu kubwa hapa ni priority.. majengo ya huduma kwanza then apartments.. imagine hela za apartments mfano za kawe, zinaweza kujenga majengo ya hospitals kubwa ngapi, au machinjio ya kisasa ngap
Lkn hawa NHC nitaona ni wa maana kama watajenga apartments za kupangisha na si kuuza.. kwa mtazamo wangu, NHC kupangisha ni rahisi kuliko kuuza
Akili ndo ulinyimwa kenge wa blue.
Mtoto wa kiiraqw wakunya wamevurugwa naeThe best 007 huyu kama ni mchaga naomba pass bro[emoji2297][emoji1787][emoji1787] pisi freshView attachment 2341525
Machinjio ya Vingunguti inaoza pale!Alitaka NHC (au kutumia hela za NHC) kujenga kwanza majengo ya kutolea huduma za jamii zinazomgusa au kumsaidia hata mtu wa chini kama hospitals za wilaya, kikanda au mikoa, majengo ya mahakama, machinjio etc.. hii ni pengine kutokana na ufinyu wa budgets ya serikal kugharamia miradi mbalimbali.. ishu kubwa hapa ni priority.. majengo ya huduma kwanza then apartments.. imagine hela za apartments mfano za kawe, zinaweza kujenga majengo ya hospitals kubwa ngapi, au machinjio ya kisasa ngap
Lkn hawa NHC nitaona ni wa maana kama watajenga apartments za kupangisha na si kuuza.. kwa mtazamo wangu, NHC kupangisha ni rahisi kuliko kuuza
Hii kitu acha tu wakunya roho ziwaume
Mjinga alishaanza kujisifia,wakunya mafala sana
Pale magomeni pembeni ya zile gorofa alizojenga magufuli nimeona kuna fensi kuubwa imetengenezwa, ndio mradi umeshaanza au.?
😂 uwa wanajiona wao ni nani sijui aisee!!Tofauti ya mkunya na kondoo ni harufu tu tena hapo kwenye harufu "Na hilo mkalitizame" huenda hakuna tofauti.
Na inasemekana Mchina anaficha badget yake ya kijeshiChina is ahead of US in almost every single aspect, huu ukweli dunia nzima wanaujua . Kitu pekee marekani inaizidi china labda ni paper GDP and military budget
Hivo vituo viko sehemu gani?Hakuna cha spy ni fala mmja tuu huyo..
Harafu unakutana na taahira mmja na likitambi lake Huko mjini anapinga tozo 👇
[emoji23] uwa wanajiona wao ni nani sijui aisee!!
Ujenzi unaanza mwezi huu kwa mujibu wa tamko la mkurugenzi wa, NHCPale magomeni pembeni ya zile gorofa alizojenga magufuli nimeona kuna fensi kuubwa imetengenezwa, ndio mradi umeshaanza au.?
Okay, huo mradi utazid ipatia taswira nzuri zaidi magomeni since gorafa sasahiv kwa Migomigo zimekua sio kitu kigeni tena, Magomeni inakua haswaaUjenzi unaanza mwezi huu kwa mujibu wa tamko la mkurugenzi wa, NHC
Nimeongea mara nyingi na narudia hapa kwamba tozo specifically ni kusaidia zaidi Vijijini..Hivo vituo viko sehemu gani?