tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Wahindi wanamfumo wao,Masikini ni masikini anatengwa kabisa,tajiri ni tajiri...sasa katika hali ya kawaida lazima Masikini wawe wengi...cake ya nchi yao inaliwa na kundi fulani zaidi wengi wakibaki mafukara,sa jiulize gdp ya India ukigawa kwa pop per capita inafanana na ya kenya or ahead by few centsActually SA and Brazil is usually ranked in the same group. India ni kama tu Nigeria.