The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Tulia dozi ikuingie..Tanzanians why can't you teach this your guy how to post pictures here?
Arusha 👇
Tulia dozi ikuingie..Tanzanians why can't you teach this your guy how to post pictures here?
Mama anafungua milango ,big up sana sera zake ni konki namkubali hakika bila yeye Tanzania hakuna,Sera za SSH Kuifungua Nchi zinazidi kulipa..
Kampuni ya RM Group ya Israel inajenga Mahotel ya Kitalii Zanzibar [emoji116]
Kubwa la mataahira linaitwa Simon na mataahira zake watabisha 😆😆😆😆Mama anafungua milango ,big up sana sera zake ni konki namkubali hakika bila yeye Tanzania hakuna,
Nahakuna Raisi yeyote yule anayemzidi mama kwa upande wa kuvutia wawekezaji na nyanja tofauti tofauti
#kazi iendeleeView attachment 2343238
Wacha mambo yako,mama amefungua milango amevutia wawekezaji we hauoni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]Miradi ya upigaji imerudi kwa kasi ya umeme.View attachment 2343170
Dini ni kweli wewe, shauri yako, kwani wewe huamini katika dini.?Sina bibi.., was busy na deals za business sehemu flani, ila wewe pia uko deluded na mambo ya dini eti😂😂😂 😂 😂..,
Kashasahau marehemu ndie alirudisha uhusiano wa Tanzania na Israeli😂😂Mama anafungua milango ,big up sana sera zake ni konki namkubali hakika bila yeye Tanzania hakuna,
Nahakuna Raisi yeyote yule anayemzidi mama kwa upande wa kuvutia wawekezaji na nyanja tofauti tofauti
#kazi iendeleeView attachment 2343238
Kama alirudisha uhusiano kwa nini hao wawekezaji walisubiria Jiwe afe ndio waje? 😆😆😆😆.Kashasahau marehemu ndie alirudisha uhusiano wa Tanzania na Israeli😂😂
Mama yupo vizuri wewe mwenyewe ujue sisi wajuba wa mambo kama mimi na wewe tunaelewa sana vile maisha yanavyoenda poa tofauti na enzi zile,Kubwa la mataahira linaitwa Simon na mataahira zake watabisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mama ni kiboko kamanda,ndiyo maana kasema kazi iendelee,Kashasahau marehemu ndie alirudisha uhusiano wa Tanzania na Israeli[emoji23][emoji23]
We hujui chenye unasemaSi jambo baya kujifunza kwa aliyekutangulia,
We are far ahead when it comes to digital transformation, mifumo yetu Karibu yote kwa sasa ni digital,
I was shocked to see bado mna driving licenses ziko kama kitabu Karne hii, hizo plate Number za magari we started since 2000s.
Huko kunyaland hata police offenses mnalipa kwa makaratasi at police stations hadi leo,
When the Gov of Tz moved to digital cashless payments long ago.