Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa ni spy 🤣🤣🤣 mkubwa sana, kwahyo ulikua unamtaftia gap tu 🤣🤣🤣
Hakuna cha spy ni fala mmja tuu huyo..

Harafu unakutana na taahira mmja na likitambi lake Huko mjini anapinga tozo 👇
 

Attachments

  • 20220901_193905.jpg
    20220901_193905.jpg
    93.8 KB · Views: 25
Huyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
sio msomi mzuri ni mhuni pitia bajeti yake utajua! Msomi mzuri ni Prof. Mpango si huyu PHD za kupikwa kama za JPM!
 
Kama Serikali haijawa tayari sio sawa kutangaza tarehe za sgr kuanza kutumika na ikifika tarehe husika wanasogeza mbele tena 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220901-195429.png
    Screenshot_20220901-195429.png
    127.4 KB · Views: 20
Huyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
Jpm Alibana wakubwa mbavu akajenga hosp hc disp nk...sasa Mama kaona ni dhulma wacha tugawane hasara ,kinachotuuma sio tozo,ni ku9na wanaagiza mav8 ya 500M ilhali watu tunabinywa kila angle...atleast wangejibana basi mambo yaende...Yani tunajibana alafu yanatokea matumizi ya hovyo katikati
 
Ni moja ya kazi zangu [emoji28][emoji28][emoji1787]
Hio screenshot yake yenyew ndo ilikuwa hii.. nikasema huyu ipo siku atajileta mwenyew tu.. angalia profile pic hapo juu kushoto
View attachment 2342358
Nimemjua leo Deo Kivevele,huyu ndiye huwa anatusumbua kwa maneno mbofu mbofu humu jukwaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
China is ahead of US in almost every single aspect, huu ukweli dunia nzima wanaujua . Kitu pekee marekani inaizidi china labda ni paper GDP and military budget
Tatizo ni exposure hapa,China is ahead US tangu lini[emoji1][emoji1][emoji23]
 
Sikuwahi kusanda,the issue is US ilishafanya mambo kitambo...China ndio anaibukia,China haiwezi hata Japan ndio iwe US
Kuanza co shida, kwn kati ya UK na US nani alianza? Mbn leo US yuko mbele na tunakubali.
 
Safi sana leo umejileta mwenyew.. hapo umelike hio post.. mpo 15..
View attachment 2342348zaman uliwah kuleta screenshot ikaonyesha na profile pic yako ya twitter.. sasa nimepitia hizo like 15.. nimekutana na profile pic yako nawe upo

Sasa, hii ndo account yakoView attachment 2342345

Na huyu ni wewe
View attachment 2342346

View attachment 2342347
Mtu mzima lkn akili kisoda..
Umemdaka, ngoja nikamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 2342366oy mwenetu umufichuliwa leo na wakali [emoji1787][emoji1787][emoji1787], na T-shirt yako ya Mbeya City hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom