Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Shenzhen ni mji wa 3 kwa skyscrapers Nyingi DunianiWacha mchezo kijana 🤣🤣🤣 Miami haziwezani kabisa na Shenzhen, hiyo skyline ya Miami ni kama district moja tu in the city of Shenzhen.. kwahyo hapo nimekupiga ..
Mwambie Mama aturudishie Gabriel we2Nimeongea mara nyingi na narudia hapa kwamba tozo specifically ni kusaidia zaidi Vijijini..
Kwa hiyo vituo viko Vijijini na baadhi yake ni hivi hapa 👇
Kwa uzuri Shenzhen ni Nzuri bhana kushinda MiamiSijakataa...shenzhen yaonekana ni mji mkubwa but miami ni mji mzuri
India ni kama copy ya China
ThibitishaKwa uzuri Shenzhen ni Nzuri bhana kushinda Miami
Utaambiwa hujui,SA iko more developed tena by far than India...Hata per capita income wanawazidi wahindi by far,infrastructures nkIndia is still more of a third world country. Can you compare India to SA even though India's GDP is 8 times more than that of South Africa?
Hivi Busan iko Korea eh?Kwa uzuri Shenzhen ni Nzuri bhana kushinda Miami
Do you mean Indian GDP is like kunyaland GDP , ghost [emoji317] GDP haaaaaaaa . For the first time I understood your argumentIndia is still more of a third world country. Can you compare India to SA even though India's GDP is 8 times more than that of South Africa?
Ni kweli india iko kama third world countries kwenye miji mingi, ila kwasasa wako na miji mizuri na wako vizuri zaidi kwenye technology, wako mbele ya SA in so many waysIndia is still more of a third world country. Can you compare India to SA even though India's GDP is 8 times more than that of South Africa?
Kuna mtu nilikutana naye miezi miwili imepita aliniambia hii kitu……….The Emirates in BRT
A country is not judged by the beauty of her cities but through welfare of her people and also through infrastructure. South Africa is far much better than India in so many ways. Na hata tukiangalia miji yao ebu nitajie mji wowote kutoka India enye unaezalinganisha na Cape Town.Ni kweli india iko kama third world countries kwenye miji mingi, ila kwasasa wako na miji mizuri na wako vizuri zaidi kwenye technology, wako mbele ya SA in so many ways
Actually SA and Brazil is usually ranked in the same group. India ni kama tu Nigeria.Utaambiwa hujui,SA iko more developed tena by far than India...Hata per capita income wanawazidi wahindi by far,infrastructures nk
😂😂😂Hiyo picha yangu hata hawanipi credit hawa mbwa [emoji23]
India sio ya kubeza mzee. Pitia miji yao kama huu Gurgaon 👇.A country is not judged by the beauty of her cities but through welfare of her people and also through infrastructure. South Africa is far much better than India in so many ways. Na hata tukiangalia miji yao ebu nitajie mji wowote kutoka India enye unaezalinganisha na Cape Town.
HakunaA country is not judged by the beauty of her cities but through welfare of her people and also through infrastructure. South Africa is far much better than India in so many ways. Na hata tukiangalia miji yao ebu nitajie mji wowote kutoka India enye unaezalinganisha na Cape Town.
NdioHivi Busan iko Korea eh?