Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa wanasema sijui S. Korea ipo vzr kuliko China lkn jana nmekutana na mkorea nkamuambia Korea ipo vzr sn akasema yah iko vzr, nikamuuliza Korea na China ipi iko vzr, jamaa kwa kinywa chake akaniambia China iko vzr sn, yn mkorea mwenyewe akakataa kabisa nilipomuambia nchi yake ipo vzr kuliko China just imagine.
Hakuna taifa la ku match China kwenye hii dunia tunayoishi Bro, na hata hao wamarekani wenyewe wanalijua hilo.. kitu pekee US Iko mbele ya China kwa sasa ni bajeti ya jeshi tu kwa mwaka
 
Walikuwa wenzetu wakati tunapata Uhuru, hata kama walituzidi si kwa viwango hivi lakini hata theluthi moja hatuwaingii, sijui tulikwama wapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Mkuu hakuna nchi yoyote ya Afrika imewahi kuwa sawa na China kivyovyote vile, miaka ya 1960s tayari China ilikuwa na uwezo na teknolojia ya kuweza kutujengea reli ya viwango kutoka Tz all the way to Zambia, sasa tulikuwaje nao sawa mkuu. Hizo ni propaganda tu kiongozi.
 
Watu tupo serious wewe unaleta uchale, sawa Charlie Chaplin [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umewatch episodes mbili za Charlie Chaplin leo sasa hatutapumzika😂😂
 
yes! yes!.. u are actually goorrect!!👍🏽
coz me am already seeing a 60/40 thing! here

Screenshot_20220901-001526_Gallery.jpg
 
US hata mm naipenda na huwa sipendi kuona China inakaa juu ya US interms of infrastructures but facts hazipingwi mzee, hata wewe mwenyewe tukikuomba ulete infrastructures za US tulinganishe na China lazima utasanda, na ulishawahi kujaribu huko nyuma ukasanda kmy kmy mzee.
China ni noma mzee. I'm telling you .. last time China ilijenga Golden Gate bridge in San Francisco California .. pitia hapa 👇. Wazungu hawawawez wachina bhana, walishazidiwa akili, washkuru Mungu media kubwa duniani zote ni zao, wamebakisha proganda tu.. hata kwenye technology ya Space stations China Iko juu 👇. US kwa china ni joke tu
 
Mwalimu wako alipata shida sana kukuelewesha kaa na ujinga wako, hii Nchi ina watu wa hovyo sana hata uwatengenezee vipi, kwanza najisahaulisha kuwa unamapenzi nikikujibu tena niite Mbwa
Hilo ni debe shinda a.k.a bungazeze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom